Ushauri wa gari TOYOTA RAV4

Mshana Jr tafadhali njoo hapa utupi uzoefu wako najua hizi pia ndiyo anga zako ukiacha ilea ya mambo ya Giza.
 
Old model ni ngumu Zaidi,kama unaishi wilayani huko na barabara sio nzuri,hilo ndo jembe.Utafikiri cruiser.Mimi nimewahi miliki Rav 4(kilitime).Its a classic car.Ina balance,injini haisumbui,comfortable.Tatizo lake kubwa ni miguu,haitaki shida kupita kwenye rough road kwa muda mrefu inaanza kugonga.Otherwise ni gari nzuri kuliko za aina nyingine
 
Rav4 1997-1999 engine ni 3sE cc 2000. na ni 4WD full time kama ni manual 4WD Niya kuingage button, Rav4 ya 2000 hadi leo ni 2WD na engine zina tofautiana kuna NZT cc1799,engine nzuri D4D engine ni kimeo Ila ina 4WD cc 2000.Ila kuna ambazo ni latest ni 4s cc2400 engine
 
Kwa RAV 4 New model Kilitime manual ndio mpango mzima,hizi Auto hazichelewi kugonga ktk gearbox na mafundi wetu wababaishaji,watakwambia ECB mara gearbox na wanaishia kula hela tu.
 
Thanx mkuu kwa ushauri wako
 
Rav4 1997-1999 engine ni 3sE cc 2000. na ni 4WD full time kama ni manual 4WD Niya kuingage button, Rav4 ya 2000 hadi leo ni 2WD na engine zina tofautiana kuna NZT cc1799,engine nzuri D4D engine ni kimeo Ila ina 4WD cc 2000.Ila kuna ambazo ni latest ni 4s cc2400 engine
Vp mkuu ikiwa ni ya mwaka 1996 4wd
 
A
Rav4 1997-1999 engine ni 3sE cc 2000. na ni 4WD full time kama ni manual 4WD Niya kuingage button, Rav4 ya 2000 hadi leo ni 2WD na engine zina tofautiana kuna NZT cc1799,engine nzuri D4D engine ni kimeo Ila ina 4WD cc 2000.Ila kuna ambazo ni latest ni 4s cc2400 engine

Ahsante kwa ushauri wako vp ikiwa ni old fashion ya mwaka 1996 na ni manual 4wd
 
Haya jamani kwa anaetaka Rav 4 kilitime manual namba C kwa bei ya 7M anitafute ila inadawa 2m na TRA 0692321070
 
Rav4 ni gari nzuri ya kati na kati inafaa kwa matumizi mbali mbali off road na katika lami, gari hizi zimefungwa vizuri katika mfumo wa suspension kama zilivyo land cruiser. Tahadhari! Gari hizi hasa izi new model zipo katika list ya gari zinazoongozwa kuibwa kwa hapa tz, habari nzuri: pia rav4 za ulaya zimewekewa security maalum inayoitwa immobilizer ilikuzuia gari kuwaka bila funguo orijino ya toyota ili kuepuka wizi wa gari.
 
Rav4 1997-1999 engine ni 3sE cc 2000. na ni 4WD full time kama ni manual 4WD Niya kuingage button, Rav4 ya 2000 hadi leo ni 2WD na engine zina tofautiana kuna NZT cc1799,engine nzuri D4D engine ni kimeo Ila ina 4WD cc 2000.Ila kuna ambazo ni latest ni 4s cc2400 engine
mkuu umesoma ulichokiaandika kabla hujakituma?? nazani umeandika vitu kimakosa sana.
 
Kwa RAV 4 New model Kilitime manual ndio mpango mzima,hizi Auto hazichelewi kugonga ktk gearbox na mafundi wetu wababaishaji,watakwambia ECB mara gearbox na wanaishia kula hela tu.
sio kweli mkuu wanachokuambia mafundi ni ukweli kabisa ugonjwa mkubwa wa rav 4 ni control box hiyo usibishe maana dunia nzima inafahamika hivyo na hata toyota wenyewe wanafahamu hivyo campuni ya FUJITSU TEN LIMITED ambao ndio watengenezaji wa control box wanazitengeneza bule pindi itakapo kusumbua .kwanza huwa unapoingiza gia huwa inapiga mateke au inastuka au unapoendesha wakati ina change gia inastuka .kama ww umeinunue ni mnunuzi wa kwanza utarekebishiwa bule wasiliana na ulikonunua lkn kama ndio unanunua used pole sana.fanya ununue control box nyingine tuu.kibaya unaweza ukanunua control box nyingine used nayo isichukue mda mrefu sana inakuwa nayo na ugonjwa njia sahihi kwangu ni kurepair tuu.
 
Kuna Rav4 Kill time ya mwaka 2002 nyeupe haidaiwi kitu yeyote na ipo katika hali nzuri sana 5 doors...Kwa anaehitaji ani-PM
 
biashara za mtandaoni unabidi kuwa mwazi weka bei ili mtu anayekufuata akufuate kwa uhakika.mkuu sio magumashi
 
sio kweli mkuu wanachokuambia mafundi ni ukweli kabisa ugonjwa mkubwa wa rav 4 ni control box hiyo usibishe maana dunia nzima inafahamika hivyo na hata toyota wenyewe wanafahamu hivyo campuni ya FUJITSU TEN LIMITED ambao ndio watengenezaji wa control box wanazitengeneza bule pindi itakapo kusumbua .kwanza huwa unapoingiza gia huwa inapiga mateke au inastuka au unapoendesha wakati ina change gia inastuka .kama ww umeinunue ni mnunuzi wa kwanza utarekebishiwa bule wasiliana na ulikonunua lkn kama ndio unanunua used pole sana.fanya ununue control box nyingine tuu.kibaya unaweza ukanunua control box nyingine used nayo isichukue mda mrefu sana inakuwa nayo na ugonjwa njia sahihi kwangu ni kurepair tuu.
Mkuu LEGE vipi kuhusu VW Touareg - Volkswagen matatizo yake makubwa nini nina mzuka sana na hii gari sana
 
Back
Top Bottom