SUMATRA na ratiba mpya ya mabasi

SUMATRA na ratiba mpya ya mabasi

Ni ufinyu wa mawazo,
wanaotoa hizo ratiba wanasafiri na kilimo kwanza 7 hours yuko mbeya. kwanza mie naona hata sheria za kutosafiri ucku ni upuuzi kabisa.
1. ni kwa nini mpaka leo hakuna dalili za kujenga highway
2. zamani arusha ilikuwa nenda rudi na magari ya zamani barabara za vumbi leo lami ZONGTONG na YUTONG BADO WALAZIMISHWA KWENDA MASAA 12 Upuuzi ni majipu hayo!!

Mie naona watu wachagye kama wataka la kulala njiani sawa kama wataka la one day trip sawa.
I.E Kulikuwa na bus la ALyys dar mwanza lilikua linaingia mwanza saa 12 na nusu
Musoma express linaingia musoma saa nne au tano!!

mbona bado ajali zatotokea?
gari ndogo je?
mkuu sioni kitufe cha like,chukua dole la kati mkuu kwa comment yako hii
 
Hapo ni kuongezeana gharama na kupotezeana muda tu.

Wakati wenzetu wanafanya kazi SAA 24 sisi tunazidi kupoteza muda wa kazi.

Wenzetu Zambia mabasi yanasafi usiku kucha,hii inapunguza mtu kupoteza muda.
Huu utaratibu Kwa mfanyabiashara ni hasara tupu.
 
Ni ufinyu wa mawazo,
wanaotoa hizo ratiba wanasafiri na kilimo kwanza 7 hours yuko mbeya. kwanza mie naona hata sheria za kutosafiri ucku ni upuuzi kabisa.
1. ni kwa nini mpaka leo hakuna dalili za kujenga highway
2. zamani arusha ilikuwa nenda rudi na magari ya zamani barabara za vumbi leo lami ZONGTONG na YUTONG BADO WALAZIMISHWA KWENDA MASAA 12 Upuuzi ni majipu hayo!!

Mie naona watu wachagye kama wataka la kulala njiani sawa kama wataka la one day trip sawa.
I.E Kulikuwa na bus la ALyys dar mwanza lilikua linaingia mwanza saa 12 na nusu
Musoma express linaingia musoma saa nne au tano!!

mbona bado ajali zatotokea?
gari ndogo je?

!
!
Mkuu umefunguka.... Ni upuuzi mtupu huu aisee. Hao jamaa wa Sumatra ni majipu tu.
 
Ni vizuri sana, mwendo kasi umechangia kuondoa roho za wapendwa wetu wengi sana...... kudhibiti mwendo, sheria kali, kuweka faini kubwa sana, pengine nusu ya thamani ya abiria iliobeba, itasaidia sana....... kikubwa kingine malori ndio yapewe muda wa kusafiri usiku...not bad
 
Lakini njia zingine zinastahili kufanyiwa hivyo, mf; kutoka Arusha - Chalinze - Moro - Mbeya.
 
Ratiba haionekani mleta mada tuletee tena,ila mm ni mmoja ambaye safari za usiku nazipenda sana,S's sijui tumefuka mwisho wa kufikiri au nn uvivu wa kutafuta maoni ya wadau wa usafirishaji...
 
ukisikia vituko ndio hivi, akili zetu kama za fundi seremala kila sehemu gonga msumari, isitoshe sababu za kuzuia magari yasitembee usiku ni za ajabu tu, fikiria unatoka Dar unaambiwa ulale misigiri kisa sekenke kuna majambazi yaani ka mlima kama kichuguu askari wameshindwa kuwadhibiti hao majambazi miaka ishirini sasa? tukiwa na misitu kama rwelu triangle itakuwaje?
Yaan ni akili za kugongomelewa. Kuna sehem inaitwa magereza Bariadi kuna wakat ilikiwa ikifika saa12 jioni askari wanakataza watu kupita hapo kwa kuwa kuna majambazi hivi kweli inaingia akilini?
 
@SUMATRA wekeni utaratibu ambao ni rafiki zaidi. Mfano trip ya Mwanza-Mbeya. Simamieni dereva anaetoka na gari mwanza anabaki Dodoma kusubiri gari ya kampuni hiyo itakayopita hapo Dodoma kesho yake. Hili mkiliwekea mkazo linawezekana. Hivyohivyo, gari linalosafiri trip hivyo lisiruhusiwe kugeuza kesho yake. Kama sikosei trip ya Arusha-Mbeya enzi hizo, mabasi ya Hood yalikuwa yakipumzishwa.
Hii ina make sense.
 
Kuhusu kutembea usiku, majirani zetu Zambia usiku ndo muda wa safari wa mabasi ya route ndefu.
 
Huu upuuzi haukubaliki, Sumatra nimeshindwa kazi, mlichopaswa kuzingatia ni kuwa bus ya route ndefu lazima iwe na 2 drivers, mfano Dar MZA , the second driver anakuwa anasubili kukabidhiwa gari dodoma, na apimwe kama hajala viroba, pili muda wa kusafiri mabus uongezwe Mpaka saa 7 usiku, na mwisho gari ya route ndefu isigeuze kesho yake, ilale ili ifanyiwe service. Na sio huu ukurupukaji mliouweka.
 
Miaka ya 1996 huko Tahfif bus lilikua linatoka Nairobi kwenda Mbeya na tulikuwa tunaambiwa linasafiri kwa siku 1 tu..na Mbeya lilikua linaingia saa 4 au 5 usiku na kesho yake linageuza..mpaka linaacha route hiyo sijawahi kusikia limepata ajali..kimsingi kusafiri usiku sio hatari mpaka ionekane njia ya kuzuia ni kulazimisha magari yasafiri mchana tu...maendeleo hayawezi kuja kwa mawazo ya kizamani kama haya, treni za mwendo kasi si ndo zitawachanganya kabisa SUMATRA
 
Huu ni upumbavu, ninbora tuanze kutembea na magari yetu binafsi sasa.safari ya 10-12 hrs unatembea siku mbili huu ni udwanzii.
 
Huu ni upumbavu, ninbora tuanze kutembea na magari yetu binafsi sasa.safari ya 10-12 hrs unatembea siku mbili huu ni udwanzii.
BINADAMU NI WATU WA AJABU SANA,UKITAKA KUWARIDHISHA WOTE LAZIMA UWE KICHAA............................SIJUI WANATAKA NINI?IKITOKEA AJALI WAO NDIO WA KWANZA KUWALAUMU MADEREVA KWA MWENDO KASI,SUMATRA KWA KUTOKUSIMAMIA UTARATIBU..........HAYO YAKITATULIWA WENGINE TENA WANAKOSOA.........DU?
 
Hakuna lolote hapo!, gari zikifika kuna mafundi huwa wanakesha kuzifanyia service ndio maana siku inayofuata zinaendelea na route ya kurudi kama kawa maana wanakuwa na uhakika. Sasa wanataka wawe wanakalisha magari mtaani ya nini, nchi iko salama na amani tele huo mda wa saa nne mbona ni mapema sana. Sie wengine hatupendi kulala njiani, pia twapenda kusafiri usiku. Tunakosa usafiri wa usiku hivyo kujilazimu kusafiri mchana
 
Back
Top Bottom