Recent content by MzeewaEPA

  1. MzeewaEPA

    hivi mtu kama kafunga pm yake unafanyaje

    Kamsaidie kuvunja Tumien nyundo ndo fasta
  2. MzeewaEPA

    Baada ya Mungu ni mzungu

    We nae mbona waajabu sana! mbona unatukana afu unamtaja mungu
  3. MzeewaEPA

    Baada ya Mungu ni mzungu

    Ndo mana kawachallenge ili mfanye bidii kuvijua Tatizo wabongo tukiambiwa makosa yetu tayari inakua shida
  4. MzeewaEPA

    Serengeti Fiesta vs Kili Music Tour

    Nini hii jaman?
  5. MzeewaEPA

    Biashara ya Konokono

    Yamtu hailiwi,na ukiila utasakwa kila kona
  6. MzeewaEPA

    Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

    Reference? sitaki kuamini...
  7. MzeewaEPA

    CCM yameguka

    lakini ifahamike kuwa CCM ni moja na ahadi zake kwa wananchi ni jambo lingine kwaiyo mtu anaposema itaongoza had itakapochoka kwa blaa blaa zake labda watanzania wote wawe mambumbumbu na wasio na,kumbukumbu ata hivo hakuna kitu chochote kitakacho dumu milele endeleen kuboronga tuu ila mjue the...
Back
Top Bottom