MzeewaEPA
Member
- May 15, 2014
- 9
- 0
Mamaee mungu hana mbadala
We nae mbona waajabu sana!
mbona unatukana afu unamtaja mungu
Mamaee mungu hana mbadala
,...halafu mimi obviously, unataka mtoto mwenye akili serious,, fanyafanya uzae na Niki wa pili genius ..........
Ni utumwa fikra tu. Mie nimekaa na kuishi nao. Sema wanajua vitu vingi sana. Wakti sisi bado tumelala.
Sijakuelewa, utumwa wa fikra kwa vipi? Ebu nijibu hapo kuhusu scientific discoveries! Angalia ndugu yangu usibishe tu, popote walipo weusi ni shida tu. Haiti iko kwa weupe lakini weusi wenzetu wachovu. SA, weupe ndio wanaoifanya iheshimike. Baadaya kuingia watawala waafrika, ona inavyodidimia. Angalia states zenye waafrika wengi USA crime rate iko juu sana. Nenda Linkeby Sweden ambayo ni makoa makuu ya wageni mostly somalis, hakufai, crime rate ni kubwa kulinganisha na miji ya weupe. Just some few examples.
vp ukienda kukata gogo Kwanzaa half u rudimentary undelete kuchangia mada. Ile avatar yako ya zamani was mdada cjui wake masai ana mdomo mref monastery uliiachahahahaa, kazi kwelikweli, naona watu wanatoapovu...wazungu hiki wazungu kile, lugha za generalization hivyo ni za vilaza tu. btw, huyo dogo alivyoimba hivyo alikuwa anatafuta vina tu.
Siku zote katika maisha yangu huwa cpendi kujishusha hadhi kwa binadamu mwenzangu ambaye anaroho kama yangu. Ninasema hivyo baada ya kusikiliza wimbo wa msaani NIKI WA PILI katika wimbo wake wa staki kazi. Moja kati ya verse yake aliyosema "BAADA YA MUNGU NI MZUNGU hii kwangu naona NIKI yeye kama yeye kajidharau sana mbele ya hawa watu weupe. Kwani mzungu sio binadamu kama watu wengine?
Ongeza maisha ya Aborijino vs mzungu, hawa jamaa wanajilazimisha kuishi very poor life style katika nchi tajiri-ila sio waafrika ila ni weusi
hahahaa, kazi kwelikweli, naona watu wanatoapovu...wazungu hiki wazungu kile, lugha za generalization hivyo ni za vilaza tu. btw, huyo dogo alivyoimba hivyo alikuwa anatafuta vina tu.