Sitamsahau huyu shemeji yangu

Sitamsahau huyu shemeji yangu

Eiyer nimeisoma yote ila jamaa alikuwa na Mungu wake na ndo maana wakamshindwa na kama angeogopa wale fisi na mbwa na kurudi nyuma hapo ingekuwa mwisho wake

Yaani mkuu we acha tu ...

Wakati anasimulia kuna wakati alikuwa anasema nashangaa hata ule ujasiri alikoutoa!
 
kanda ya ziwa jamani funiko bovu
ila huyo mtu hana dini?
maana sijaona alipoomba msaada wa MUNGU hata sehemu moja

Kwa sasa ni muumini mzuri sana wa mashahidi wa Yehova,kwa nyakati hizo sijui alikuwa dini gani labda nimuulize!
 
nimeshindwa kusoma, aliyesoma hadi mwisho anielezee kwa ufupu sana wakuu!
 
Kwa sasa ni muumini mzuri sana wa mashahidi wa Yehova,kwa nyakati hizo sijui alikuwa dini gani labda nimuulize!

ila watu wa kanda ya ziwa wengi hawanaga dini
wameanza kuamini hv karibuni
 
Huyo kijana ana bahati sana. Mungu alikuwa upande wake, vinginnevyo wangemkula nyama ama kumvuruga kimaisha.
 
Duh sengerema ni noma upande ule nakumbuka kuna kamji kanaitwa katunguru tuliwahi kwenda kwenye gurio kama unatokea kamanga ferry mwaka 1988 nikapata stori za wazinza na wakerewe jinsi walivyo ''Mafundi'' kwenye mambo ya giza.

Hapo Katunguru si mchezo! Nilitaka kuripoti kwa baba enzi ya udogo wangu! Nikakimbizwa hadi Isolo ya Ndagalu.
 
Mhhhh hii post
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1410015507.716802.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1410015507.716802.jpg
    19.9 KB · Views: 152
Maeneo ya nyatukala,ibisabageni huko n shidaa wapaisha tiara wapo kibao...
 
Kanda ya ziwa ya wapi?

wasukuma na makabila mengine mf:mi wakwe zangu wapo ndg wasio na dini na nimekaa shy kuna jirani yetu mmoja alituambiga ye kwao wengi hawana dini mf:dini kaipata baada ya kuoa mkewe alikua RC ila na kuna mwl nae alikua hana dini kabisa wapo ambao hawana dini.
 
Sasa hao tu ndio unataka kuwafanya kuwa sample ya kabila ambalo ni kubwa zaidi kwenye nchi hii?
 
Back
Top Bottom