ONG'WASAMBA-Busega
Member
- May 20, 2014
- 31
- 8
we mwiba ambao hauchom!!mbona gogo kichwani mwako nyingi au babu wenu kawapa,kazee wa gogo ka slaa.
Huu muda mnaopoteza kuishambulia CCM.
Imarisheni UKAWA, waambieni na wananchi kwanini wawaamini, na waulizeni kwanini wanawaona ni matapeli. CCM sio saizi yenu.
Hayawi hayawi yamekuwa habari za ndani kabisa zunadai CCM imeshameguka na kuna mivutano inayotokana na makundi na mitandao inayoelekea kutaka kuweka mtu wao kugombea Uraisi ,Kumbe ile mbinu ya Kinana na Nape kuzunguka nchi ni moja ya mbinu na mikakati ya kujijenga mmoja kati yao ni mgombea mtarajiwa ,tayari wameshasitukiwa na ziara zao zimeanza kupigwa mikwala na kutiliwa shaka kwa sababu za kufanya ubadhirifu wa hela za chama na pia kutumia baadhi ya mambo na vifaa vya serikali ikiwemo magari.
Na waliondani wamesema sasa hivi hali ni mbaya kifedha ,pia kumekuwa na kudharauliana na kubaguana ,pia kuna baadhi ya vigogo huenda wakatimkia vyama vingine vya siasa ,wakikiacha CCM kikiwa kwenye mtafaruku.
Huu muda mnaopoteza kuishambulia CCM.
Imarisheni UKAWA, waambieni na wananchi kwanini wawaamini, na waulizeni kwanini wanawaona ni matapeli. CCM sio saizi yenu.
Hivi bavicha huwa mnaona sifa sana mkitoa matusi? Au ndio mafunzo ya mabwana zenu
Khaa!!! Eti hii nayo ni thead. Mods ondoa hii takataka. Ndiyo maana watz wengi ni masikini pamoja ni mfumo mbovu lakini akili kama hizi zinachangia kwa 85% kuleta umaskini
we mwiba ambao hauchom!!mbona gogo kichwani mwako nyingi au babu wenu kawapa,kazee wa gogo ka slaa.
Kwa sababu za kiusalama source ni undisclosed location.
Khaa!! Unanishangaza sana. Bora nishabikie ubovu mdogo uliopo kuliko kushabikia ubovu mwingine mkubwa uliokithiri. Hata ujinga una degree pia. Kuna ujinga mdogo na ujinga mkubwa uliokithiri :loco:kama ni mfumo mbovu kinachokufanya ushabikie wezi wanaobebwa na mfumo huu mbovu nini? Ni njaa uliyonayo au ujinga ulionao?
Kinana anafanya kazi nzuri sana ua kukimalizia chama chenu cha ccmKinana anawatoa makamasi,..mtaisoma,namba mwaka huuu
Kinana kanyaga twende Comrade