Recent content by Mzee wa Vyombo

  1. M

    Waziri Mbarawa atofautiana na Makonda, ataka Magari ya Serikali yatengenezwe na TAMESA

    Kutengeneza magari ya serikali kupitia TEMESA ni takwa la kisheria lakini they lack almost everything to operate kwenye hiyo industry.
  2. M

    TBF hamna lengo zuri na mpira wa kikapu Tanzania

    Habari za leo wanamichezo wenzangu... Leo naomba nije na kisa hiki cha kusikitisha kuhusu mchezo niupendao sana, mpira wa kikapu.. ...kuna kocha mmarekani alijitolea kuja Tanzania kwa ajili ya kuinua mchezo huu. Program hii ilikua na lengo la kuchagua vijana wadogo wenye age around 18 hiv ambao...
  3. M

    Hii ndio Nyumba Mpya ya Kisasa ya Mbunge wa Chadema Mwenye Makelele Mengi Sana!!

    ....mleta mada hana logic, hivi Sugu aliingia bungeni akiwa hana mishe zake za kumuingizia mkwanja?....wote tunamfahamu sugu kwa upiganaji wa kutafuta life..naamini aliingia bungeni akiwa na mafanikio tayari. huu ndio uchochezi, unafiki na uzandiki. na wivu kijinga-jinga.
  4. M

    Ushauri:nahisi mdogo atachukua nafasi ya dadake..

    Kama huna cha kumshauri mwenzaka piga kimya, huu ni upunguani. Mjingaaa wa wajinga wewe..
  5. M

    Bodi wafanya ujinga,,,,eti ukimaliza miaka mitatu iliopita,,,upati mkopo,,hivi hii ni sababu kwel?

    Mnakumbuka 2006?...ni mwaka ambao watoto wengi wa wakulima walidrop vyuo kwa sababu division two kwa wanaume ilikua just like nothing...sasa wamekuja na hili, inaumiza, inatesa... :mad::mad:
  6. M

    Mtu 'romantic' anakuwaje?

    muulize yeye anaielewaje hiyo maneno, definition inaeza kuleta tabu hapa..
  7. M

    Nakubaliana na diamond platnums theory of love!!!

    ...bwana mdogo Diamond hewa, na wewe bwana LIKUD hewa zaidi kwa kumshadadia.
  8. M

    Mtoto wa kihindi jaman njia panda!

    ....vip kwenye papuchi ya dada ako, kuna freezer?
  9. M

    once a player, always a player

    ...there are things, about men, u will never understand unless u were a man. niliwahi kupenda sana somewhere, relationship haiku-workout and I turned to be a player, but always nikawa natamani nipate mtu ambae atanifanya niache hayo mambo, nikampata na nikaacha.
  10. M

    Nataka kuvunja ahadi,,,,nioe mwingine!

    ...mjomba just listen to ur heart, utakuja laumiana na watu bure.
  11. M

    Usmart wamponza

    mwambie anitafute..
  12. M

    Online dating imejibu!!!!!Maisha yanaendelea(IMANI YENYE MATENDO)

    kuna ndugu kazungumzia "upeo wako mdogo", ushabiki utakuponza ki-ukweli.
Back
Top Bottom