Mtoto wa kihindi jaman njia panda!

Mtoto wa kihindi jaman njia panda!

Yaani watu wengine kweli vichwa maji sasa unataka upoteze kazi kisa mtoto wa kihindi?kwani ana ya dhahabu?
Kama unampenda naweza kuelewa ijapokuwa utasababisha majanga makubwa sana kwa huyo binti..

kisa muhindi ndio anapagawa anataka a terminate kazi yake kwa upuuzi mapenzi yapo na hayataisha kamwe kweli tumetofautiana ipo siku atarudi hapa kujuta kwa ujinga wake.
 
Kwani nini yako inaruhusu habari izo?
Kama airuhusu kemea ni pepo uyo, Na kama inaruhsu Piga tu kwani mki do mtaenda kumpa taarifa.
 
Kwani DINI yako inaruhusu habari izo?
Kama airuhusu kemea ni pepo uyo :A S 2152::A S 2152:, Na kama inaruhsu Piga tu kwani mki DO mtaenda kumpa taarifa.
 
Baada ya kuaso kutafuta kaz hapa town atmaye nkapata kwenye campuny moja ya shipping, day 2 wakat wa introduction kwa stuffs ambayo ina watoto wengi wa kihind. Baada ya mwezi kuna kabint ka kihind kaakanza kuja less full shobo ila kako vizuri sura nywele mpaka kwenye makalio ila ndo kamepigwa pas kako FLAT. Majuz wakat 2po lunch akanfuata nakuniambia kwamba anata nmgegede azae na mm eti siku nyingi alikua anatafuta black kama mm so moyo wake umedondokea kwangu.bos wangu wa kidos kumbe alishais k2 mm na uyu dogo sasa leo boss kaniiita kaniambia nchague niachane na huyu binti niendelee na kazi au aterminate mkataba wangu anipe mil 3 niache kazi.na mm nlitaka nilambe sukari ya huyu kuch kuch ingawa wanasemaga kwenye papuch zao kama kuna barafu
Wakuu nipo dilema cjui nchukue mil 3 nsepe bila kuramba sukari? au niendelee na kazi uku nkila kwa macho?

Weee! Jumaa! Umeshachukua totozi yangu..
 
na wewe mwenyewe wa ajabu ajabu mpaka ukajua ninawaza mambo ya ajabu
 
nasubiria topic yako hapa baada ya miezi miwili; nahisi itakuwa na machozi
 
Story yako nzuri ila usingeileta kama swali, ungeongeza vitu kama vile;-

1.Unapokea M3 za Termination unaacha kazi baadaye unakimbilia kijijini kwenu shirati unafungua duka.
2.Huyo Binti wa kidosi anakunywa sumu baada ya wewe kuondoka lakini anaokolewa.
3. Wazazi wake wanatumia ghalama kubwa kukutafuta mpaka wanakupata huko Shirati
4.Wanakuoza huyo binti wa kidosi, wanawajengea nyumba.
5.Biashara yako ya duka inashamiri sana hapo Shirati unaamaua kufungua maduka mengine Dar na hatimaye wewe na huyo Mdosi mnakuwa matajiri mnaishi maisha ya raha Mstarehe


Hii imekaa vizuri zaidi!!!!

Hahahaha kwakweli nasubir part 2,
 
Hakuna raha kama 'utoto', uko free kuwaza mawazo yote ya ajabu ajabu =na kutaka kuyafanyia kazi. Wazungu wanasema 'enjoy it while it lasts'

Kongosho kesho naomba lunch bana,jackies bomba sku hizi wana buffet.
 
Last edited by a moderator:
picha la kihindi steringi anakufa kwenye maua kwanza...
 
umesotea kazi kama unavyosema, umepata, then unauliza uchague nini kati ya kazi na papuchi?
kilichokutoa roho hasa ni nini? papuchi ya kihindi au?

kubali kuterminate kazi, upokee M3 hizo, then boss mhindi akuitie polisi kwamba umemuibia hela zake, mwisho wake utakavyokuwa utaujua mwenyewe.

NB: Acha kufikiria ngono, fanya kazi kwa bidii ujenge future yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom