Nataka kuvunja ahadi,,,,nioe mwingine!

Nataka kuvunja ahadi,,,,nioe mwingine!

Hv kwa nini manesi siku hizi wamekuwa malaya sana?
Hapa umevuka mipaka, kwa hiyo kama wako malaya hata wake zetu malaya??????????? Jibu haraka......Adhafu Tarimo ngiktunsirye heshima nduve....Li watretra madhema nikiiiiiiiiiiii
 
hahahahaha uwiiiii wazee wafunzeni jando vijana wenu,wanawaabisha kabisa.

Kweli lazima tulaumiwe hapa....Katuvua nguo hadharani. Ametuaibisha kiasi kisichoelezeka.
 
Kaaaazi kweli kweli, yan unajidhihirishia mwenyewe kwamba hustahili kuwa mume ebu kaa bench kwanza ili uzidi kujifunza kabla hujakurupuka
 
Mmh, labda swali ni nani unayempenda kiukweli?

hapo mzazi maji yame zid unga wote na wakubali ,ila kila moja ana kasoro mpya sija ijua tabia yake vizuri siju huko nyuma alikuwa je,na nurse tatizo lake nikule kuni sariti na kurudi tena huenda wakikosana na jamaa yake wa mwanzo ndo huni rudia,wakipatana ananipotezea ,sasa ameona mm kimya nimezidisha ,ameshituka,
 
NAZANI WALIMU WOTE WANGE KUWA KAMA wayne WANAFUNZI wote wange kuwa mamong'omong'o
 
we bado mtoto unachukulia ndoa kama kununua nyanya sokoni, mkuu kifungo cha maisha icho usije ingiza mzigo ndani kwa kuangalia mapenzi yakiwa motomoto tulia yupi mnaweza kukaa mkapanga na kupangua, mkagombana mkapatana, apo ndo ufanye maamuzi ndoa ni zaidi ya kufanya ngono,.
 
hahahah....ukidundwa miye simooooo...si unawajua hao jamaa eenh
kosea njia utaelekezwa lakini usikosee kuoa kwani machungu na majuto itakuwa sehemu ya maisha yako be serious brother kama unachukulia suala la kuoa kama hali ya kawaida itakula kwako tulia vizuri na jipe muda haiwezekani mkutane na mtu kazini tena ndani ya muda mfupi eti mnataka kufunga ndoa your joking jipe muda wachunguze vizuri ndio uje na jibu kuwa utamwoa yupi kati ya hao wawili kwani huyo nesi naye anaonekana ni walewale huyo mwingine hujatoa ufafanuzi juu yake pia mshirikishe mungu kwani biblia inasema nyumba na mali ni vitu ambayo mtu hurithi kwa babaye mke mwema hutoka kwa bwana.
 
mwenzenu nilimuhaidi mwanamke mmoja kuwa ntamuoa
nika anza kazi bahati nzuri nikawa nime pangiwa kituo kimoja na dem mmoja mzuri ,cha ajabu demu akanikubali

Sitaki kukuchambua sana ila kiufupi tu unaonekana bado hujapevuka. Mtu uliyekuwa unapendana nae unamrefer kama mwanamke mmoja, ni dhahiri shahiri huna mapenzi nae hapo, na huyo mwengine umem-refer kama demu, nae halikadhalika.
 
kunamtu alishasema "usimuoe kwasababu unampenda." ila bwashee mbona hii stori inamauzauza?
 
Samahan naomba nifafanulie hapa.
,lla sikuwa serious sana yeye aka kokolea zaid ,nikamaliza chuo na yeye akawa tayari amehitimu ,aka anza kazi wakatimimi bado ,akaanza kunipotezea,namimi nikawa nimekolea,nika anza kazi bahati nzuri nikawa nime pangiwa kituo kimoja na dem mmoja mzuri ,cha ajabu demu akanikubali na mm nimemwelewa kinoma,yule nurse amekuja kasi anataka ndoa siku yoyote,nifanya je?nibwage nurse,au huyu mpya tunae fanya nae kazi,,,
 
JAMANI SIJUI PEPO AU TAMAA AMA UPENDO,mwenzenu nilimuhaidi mwanamke mmoja kuwa ntamuoa tukiwa kidato cha tatu nae tukahitimu ,akan sarit kwakuwa nilikuwa sikutulia eti alikuwa akini vumilia tu ,akamua kumrudia mpenz wake wakwanza nikambembeleza akakataa niakaenda chuo yeye akaenda kusoma nursing tukawa tume poteana kwa mda wamwaka 1 aliko enda kusoma akahama kwa bahati nzuri akahamia mkoa nao soma mimi alikuwa hajui kama mimi nasoma huko,siku ya siku tukaonana ,akashindwa kujizuia tuka salimiana basi tuka anza stori kwakuwa nilikuwa nampenda ,nikamtongoza mara ya pili akakubari,na nika muahid kumuoa,lla sikuwa serious sana yeye aka kokolea zaid ,nikamaliza chuo na yeye akawa tayari amehitimu ,aka anza kazi wakatimimi bado ,akaanza kunipotezea,namimi nikawa nimekolea,nika anza kazi bahati nzuri nikawa nime pangiwa kituo kimoja na dem mmoja mzuri ,cha ajabu demu akanikubali na mm nimemwelewa kinoma,yule nurse amekuja kasi anataka ndoa siku yoyote,nifanya je?nibwage nurse,au huyu mpya tunae fanya nae kazi,,,

Huna msimamamo!
 
Back
Top Bottom