Usmart wamponza

Usmart wamponza

Anaweza akawa smart kwa nje lakin si rohon. Mwambie ajifunze jinsi ya kukaa na kuongea na watu

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
usafi rohoni unamaanisha nini?chuki?huyu dada simtetei anaongea nakila mtu kazini,namaanisha anasocialize na watu ni mcheshi,labda niungane na huyo mdau alosema hana bahati.
 
habari za leo wanajamvi,hivi binti ukiwa smart kimavazi,namaanisha kimuonekano inaweza kusababisha wanaume wakaogopa kukuaproach? ninarafiki yangu ninafanyanae kazi, mdada ni mzuri,anajipenda yan ukimuangalia unaweza sema mdada ana msururu wa wanaume, chakushangaza katika stori amenishangaza aliponambia, hapo alipo hana boyfrend,anahisi wanaume wanamuogopa the way alivyo,yani wanaogopa kumuaproach. hali hiyo inamkosesha raha.but the gal mkimuona ni very smart,anapendeza,hakuna nguo alovaa acpendeze.

Sometimes inatokea ..tena sana..
Ila sababu sio hio tu ya usmart..mie kwa maoni yangu huyu binti pamoja na kuwa smart kimwonekano na pia kikauli..ila still atakuwa na kikasoro kinachotokana na ile SELF IMAGE...yake ktk mazingira yanayo mzunguka...pia studies mbalimbali zinaonesha kuwa watu hawa watakuwa wako too egoetic..kitu ambacho hata watu wanawadhania kumbe sivyo...

Vingine ambacho nahisi ni kibaya mno ni ile kujifanya too knowledgable..too critics...too serious...na..u selfish uliokomaa...
ujasiri ulopitiliza...kukosa haya...kutokuomba msamaha..na kujitetea kitaalam...

Mwisho na mtamani angekuwa client wangu...ninge m redirect na angepata pumziko la nafsi..
 
kuwa smart sio kuvaa vizuri tu, smart inamaana kubwa zaidi,
 
usafi rohoni unamaanisha nini?chuki?huyu dada simtetei anaongea nakila mtu kazini,namaanisha anasocialize na watu ni mcheshi,labda niungane na huyo mdau alosema hana bahati.

unaweza kuwa unaongea na watu hata kucheka nao na kutaniana lkn kimtazamo bado waweza kuonekana au kuwa katika muonekano ambayo sio wa uhalisia
 
naanza kukuelewa sasa.
 
habari za leo wanajamvi,hivi binti ukiwa smart kimavazi,namaanisha kimuonekano inaweza kusababisha wanaume wakaogopa kukuaproach? ninarafiki yangu ninafanyanae kazi, mdada ni mzuri,anajipenda yan ukimuangalia unaweza sema mdada ana msururu wa wanaume, chakushangaza katika stori amenishangaza aliponambia, hapo alipo hana boyfrend,anahisi wanaume wanamuogopa the way alivyo,yani wanaogopa kumuaproach. hali hiyo inamkosesha raha.but the gal mkimuona ni very smart,anapendeza,hakuna nguo alovaa acpendeze.

muaproach basi, au umeoa?
 
kumbe kutongozwa ni bahati?

kutongozwa ni bahati ndio we huoni vile waume wa watu wanavyogombaniwa!!!! wanawake wengi kuliko wanaume japo mwanaume atakua na mwanawake wengi lakini wanaume wengi huoa mwanamke mmoja
 
Back
Top Bottom