once a player, always a player

once a player, always a player

Kwani huo umalay.a wanaume wanafanya na wanaume wenzao..??? Kama wanafanaya na wanawake basi wote hawabadiliki...
 
Hakuna asiyependa expert katika kila nyanja, players wana uzoefu mkubwa wa mapenzi. Anakuibia bila wewe kujua, ndio maana watamu.

Kuna wanamme waaminifu kama nini, lakini wako too boring, bora kubalansi tu, player kiasi, interesting kiasi.

Wanawake alwayz wanapenda Players. Ndio maana huyo dada habanduki kwa huyo jamaa.
 
Mwanaume kuwa player haina maana hana mapenzi au kumjali mke wake. All the player dudes I know take great care of their wives. Kuoa sio lazima uwe zoba.
 
Kwanini tuact tuko single? Wanajua tuna wake na wengine wanawajua mpaka wake zetu lakini wanatupa gem kama kawaida. Tena kwa taarifa yako wanasema mme wa mtu mtamu sana
Inaonekana unapenda sana mambo ya mitandao ya ngono. Mi lengo langu lilikuwa upande wa wanawake tu, so huyo anayekupa game anafanya at her own risk.
 
Mwanaume kuwa player haina maana hana mapenzi au kumjali mke wake. All the player dudes I know take great care of their wives. Kuoa sio lazima uwe zoba.
una mjali mpaka una hatarisha maisha yake, huo ukatili au upendo!!
Sasa tena wengine hamchagui mnatembea na wanawake vichaa wanaotaka kumpa stress mpk mkeo
 
Hao wanaotembea na wanawake vichaa wana matatizo. Pointi yangu ni kuwa mke ni mke tu. Nafasi ya mke ni ya juu sana hailinganishwi na hawara hata siku moja. Ujue player akiwa na hawara sehemu halafu apigiwe simu na mkewe, huchanganyikiwa. Wanawake wengi wanajua waume zao ni players ila wanawatimizia haja zao na kuwapenda kwa kweli na kuwaheshimu. Kwa hali ya sasa, mwanaume kutokuwa player ni ngumu sana kwani wadada wamekuwa wakijirahisisha sana. Haichukui msuli hata uwe uso wa mbuzi vipi, hawa dotcom ni kama wamesomea kutongoza wanaume.
 
ni ufinyu wa fikra zenu, kwanin usimpendezeshe mkeo, una sababu ya kuwa na hawara? Unajua hawara wako ana wanaume wengine wangapi? Amekushilia bunduki ulale nae? Ila hamjui wanawake wengine wanasema why keep the pig just to get a single sausage ndo maana anakuwa na wanaume wa watu ili asiwe commited, utaponea wapi na ukimwi wewe. Unaweza kukuta naye hakutaki kwasababu we ni mchafu kama nguruwe so hajali kitu, zigo la mkewe hilo.
 
Jamani kwa mwanamke anayependa maplayer It's her decision sijamkataza mtu kufanya lolote ila I was just warning my fellow women tujue mateso yanayoambatana na hao watu.
 
Pesandogo my dear you are fighting an uphill battle...wewe una WWII mossberg rifle, wenzio wana comanche gunships hovering above you...gist is you can't win...women like players, period.
 
Inaonekana unapenda sana mambo ya mitandao ya ngono. Mi lengo langu lilikuwa upande wa wanawake tu, so huyo anayekupa game anafanya at her own risk.

Mi sizungumzii mambo ya mitandao nazungumzia mambo ya ukweli mtaani. Niko kwenye hii taasisi kwa miaka kumi, nimeona mengi. We unazungumza kwa uzoefu wa tamthilia au?
 
...there are things, about men, u will never understand unless u were a man.
niliwahi kupenda sana somewhere, relationship haiku-workout and I turned to be a player, but always nikawa natamani nipate mtu ambae atanifanya niache hayo mambo, nikampata na nikaacha.
 
Pesandogo my dear you are fighting an uphill battle...wewe una WWII mossberg rifle, wenzio wana comanche gunships hovering above you...gist is you can't win...women like players, period.
ndo mana ni mawazo yangu sio lazima myakubali, hakuna anayelazimisha waache kuwapenda hao maplayer
 
...there are things, about men, u will never understand unless u were a man.
niliwahi kupenda sana somewhere, relationship haiku-workout and I turned to be a player, but always nikawa natamani nipate mtu ambae atanifanya niache hayo mambo, nikampata na nikaacha.
sawa, labda ungewashauri wanaotetea tabia hizo na hawataki kuacha hata kama wamewapata wanandoa wenzao.
 
Wanawake wa JF wote ni watakatifu.

Dunia hii watakatifu wanatokea wapi? Hata walokole waongo na wajaidina waongo pia. Utakatifu si kirahisi hivyo, tunajaribu kuufikia ila wawezao cjui 1 katika mabilioni.
 
Mi sizungumzii mambo ya mitandao nazungumzia mambo ya ukweli mtaani. Niko kwenye hii taasisi kwa miaka kumi, nimeona mengi. We unazungumza kwa uzoefu wa tamthilia au?
ndo maana nimesema kwa wale niliowaona na kuwasikiliza wakinisimulia hayo ndivyo nlivochunguza na kuelewa. Tamthilia hazina uhusiano na lolote nlilosema mana hata mimi siziamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom