Ushauri:nahisi mdogo atachukua nafasi ya dadake..

Ushauri:nahisi mdogo atachukua nafasi ya dadake..

karatu one

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
60
Reaction score
6
Mkasa uko hivi wapendwa..
PHASE 1
:
Nina mpenzi ambaye kwa ss nina miaka miwili nae tulianza uhusiano tulipokutana kweny tempo ya kufundisha bahat mbaya kwangu mim niliahirisha mwaka 1 kwenda chuo ila yy akaenda chuo mwaka huo.kwa ss yuko 3rd yr MWANZA na mm nipo 2nd yr UDSM.akiwa chuo naweza kumpgia cm asipokee tuma txt acjibu,akipokea nkimuliza y alikua hapokei anasema sm ilkua mbali nkimuliza y ulivokuta mssd call hukunitafuta utasikia nilisahau.nimempima sana kwa miaka 2 natufata sababu hata ikiwezekana nimwache nipate amani ya moyo wangu kuliko kudanganyana sasa naona KUTOKUPOKEA CM HAITOSHI KUVUNJA UHUSIANO!!nikiwauliza marafiki zae wa kike wanasema hana mtuwala hana shida nkidadsi tabia zake za chuo sio mbaya,akija likizo hana shida kabs tunaweza kuchat na kuongea nae mayb mara 2 kwa siku!tatzo akirudi chuo hapo ndo naanza kuhisi km ananicheat

PHASE 2:
Sasa ishu nyngne iko hivi; kuna siku alinitambulisha kwa mdogo wake wa kike kam rafiki yaake,siku 1 mdogo mtu akanikaribsha nyumbn wakat dada yupo chuo tayr asharudi nkaenda likatokea la kutokea tukacheza!! nkafikriaaaa..nkaona nitawacganya mtu na mdgo wake , japo naogopa kuwachanganya mtu na dadake lakin the way anavyopiga kimya naona km vle hanipend ananipotezea mda na namwona mdgo anaipenda ,now in this mixing naona mapenz kwa mkubwa ynapungua yanahamia kwa mdogo, sas hapa nawaza nimchukue mdgo moja kwa moja au nitulie tu hata kama mkubwa ananifanyia hivi?na je athari yake itakuwa ip kwangu na mdogo mtu ?
ki ukweli mkubwa nampenda ila she is less in communication hasa kwangu ambae ni mpenz wake as u know kwa wapenz wa mbali ni namna gani mawasiliano ni kitu cha muhimu sana.
NAOMBA USHAURI WAKO KATIKA HIZI SITUATIONS ILI NIFANYE MAAMUZI YALIYO SAHIHI
natanguliza shukrani za kipekee
 
Phase 1:
Sasa wewe umechunguza umegundua huyo mtu hanatatizo!
Mawasiliano kupungua ni kawaida sana kwa wanachuo! Zaidi wale wanaoamini si vizuri kuchanganya mapenz na masomo! A.k.a shule kwanza!
Embu kuwa mvumilivu! Kunavichwa haviwezi kubeba hayo mambo mawili kwa pamoja!
Ni rahisi sana kufeli/disco or kupata matokeo mabovu kwa watu kama demu wako!
Thus why anafanya hivyo! Embu kua muelewa!
...
Phase 2:
Tufanye huyo demu wako anakusaliti huko Chuoni! Si VIZURI kumla mdogo wake!!!!!
Au wewe utakubali dada zako or wanao wa kike waliwe na m/me m1????
...
Kama mpango ndio kama huo! Naipongeza UDSM kwa kutoa vichwa!
 
Sasa we unamla mdogo wake!
Halafu yeye unamhisi tu unaona shida?
Inawezekana na yeye analiwa na kaka yako!
Full time 0-0
 
thanx for your advce nashukuru
point taken!!
 
Sasa we unamla mdogo wake!
Halafu yeye unamhisi tu unaona shida?
Inawezekana na yeye analiwa na kaka yako!
Full time 0-0

sina kaka mwingne labda mwanaume mwingne
 
Sasa we unamla mdogo wake!
Halafu yeye unamhisi tu unaona shida?
Inawezekana na yeye analiwa na kaka yako!
Full time 0-0

Amle na mama yao ili Dakika za nyongeza apate 1-0
 
utajiskiaje kaka/mdogo wako akimgegeda huyo demu wako?
 
Nahisi wewe ulichua ile combination ya Kula Lala Fauru wakati mdada alichuka People Confusing Brain hence hata chuo mwendo ndio huo, hiyo ya mdada ni pasua kichwa, ukichanganya masomo inakula kwako wakati yako ili ufauru unahitaji tu kuhudhuria group discution tu basi. Hizo ndio tofauti zenu, we unao muda mwingi wa kupoteza while kwake kila dakika ina thamani kubwa!
 
kaka sio kwamba cko busy nahisi unajua km unampenda mtu huwezi kosa even 2 minutes ya kumjulia hali mpenz wako
afu pia cmbntn is not matter mbna mi nimesoma PCB na yy HGL,hakuna kitu kigumu just your perspectives!!!
 
upeo wangu kwenye hili ni mdogo kushauri

asante usijali mdogo wangu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom