Kuna mengi yaliyotarajiwa yameanza kutimia..
1. Serikali mbili ndiyo mpango - ina nafasi zaidi ya kutekeleza matakwa yake zaidi serikali 3
2. Ukomo wa uongozi bungeni
still loading..
Kuna mengi yaliyotarajiwa yameanza kutimia..
1. Serikali mbili ndiyo mpango - ina nafasi zaidi ya kutekeleza matakwa yake zaidi serikali 3
2. Ukomo wa uongozi bungeni
Hapa tatizo hakuna anaetaka jina la nchi yake kufa. Muungano wa nchi moja, jina zanzibar lazima life, kinyume chake jina tanzania life. suruhisho ni serikali 3. twende sawa kila mtu atatumia chake kwa uhuru bila kubughudhi muungano
Amini usiamini, nawapongeza wakazi wa Igunga kwa kuwapa nafasi ya mwisho CCM ili walipe madeni ya ahadi zao mpaka hiyo 2015. Hii itawafanya wawe wenye amani mioyoni mwao kwa kufanya maamuzi ya mabadiliko kwani watakuwa wamehukumu kwa haki ktk uchaguzi mkuu.
Ndiyo maana nasema ni mtego kwa CCM
Kijana, kwanza hongera sana kwa hekma uliyoonyesha. sasa wewe iwashe akikupigia mwambie ulipo umpe ila kabla hujampatia mwashe kibao kitakatifu kisha msonye. Nadhani utakuwa umetimiza wajibu kijana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.