mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Warioba ndo baba mdogo wa taifa
Warioba ilikuwa zamani.
subirini kisu cha maadili hilo la serikali 3 limewatoa jasho hilo la maadili litawatoa kamasi.
leo nimekaa natafakari juu ya huyu mzee warioba nahisi kama amepewa mafunuo ili kuwapigania wanyonge wa taifa hili linalo hujumiwa na wanyang'anyi.
C.c mwanadiwani,ritz,ajuza wa kikwajuni ff.
Hivi Warioba ni Chadema???
Hivi Warioba ni Chadema???
wekeni anayosema kwa ufupi humu jf huku tulipo umeme hakuna hata radio hazipatikani
du nilizani una uwezo wa kufikiri. Ccm inawamliza uwezo wa kufikiri. Chadema wametoka wapi hapo?
Hivi Warioba ni Chadema???
Hana jipya
Aje hapa aeleze kazi ya upolisi iliishaje na zile fwezzzzzzzzza a.k.a chambichambihuyo kijana lukyosi hana jipya kitabia maana toka atafune rambirambi za mwangosi ni kama ana kalaana kazito kweli!
Mkuu uliyetuwekea audio last time, tunaomba na hapa tena. Wengine tupo night shift hakuna tv mkuu. Nashukuru