Moderators sula la ndege kupotea ni critical na watu wamo ndani halihitaji mchezo. Ondoeni uzushi huu.
Mkuu watu8 dah nilijibu bila kusoma mleta mada!!! Leo umetoa ya mwaka kabisa, mbona umetuhamisha kusikiliza rasimu yakatiba tukashukuru imepatikana.
Mkuu nimetumia uandishi unaohitaji fikra ya kina...ndio maana sijataja jina la shirika la ndege hivyo bado sio uzushi
Huu tunauita nini vile?
Kama utanusurika ban basi una bahati sana.
Sent from my iPad using JamiiForums
Moderators sula la ndege kupotea ni critical na watu wamo ndani halihitaji mchezo. Ondoeni uzushi huu.
Mods wamebadilisha title ya mwanzo...sijui kwa nini huwa wanafanya hivi hawa ndugu!!!
kwa hiyo mkuu uzi ukiondolewa ndo ndege itapatikana?
"uzi uliopoteza ndege" duuuh nakumbuka muwa uliozamisha meli
Kwa sababu heading ya mwanza kama breaking news ilisema ndege imepatikana!!! Heading unayoiona kwa sasa ni edited!!!kwa hiyo mkuu uzi ukiondolewa ndo ndege itapatikana?
title ya mwanzo ilikuwa inasemaje?Mods wamebadilisha title ya mwanzo...sijui kwa nini huwa wanafanya hivi hawa ndugu!!!