Nimesoma yote na nimesikitishwa lakini pia nakupa pongezi kwa kupambana. Ushauri kama ambavyo ulitatua tatizo la mama TANGA nashauri urudi tena Tanga kwa tatizo la Mzee. Asante
Sababu ni mbili! Moja, Ni kujisitiri watu kujua maisha yako hasa vyombo unavyomiliki hasa kama vina uchakavu! Mbili ni Kuzuia wezi wanaotamani Mali za watu kujua unamiliki nini hata wakivamia kwako wanajua kabisa wanachokipata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.