Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,112
- 124,675
- Thread starter
- #321
Mkuu umenena vema ila huu uzi ni wa zamani sana
Walk away!
Kama vile unavyomuonjesha ladha ya mke bora kwa kumpikia n so n so. Na yeye anatakiwa akuoneshe ladha ya mume bora kwa kukuhudumia. Wanasema ukiona mwanaume anadiriki kula chakula hajui kilipotoka huyo ni janga...Tena janga la dunia (Imeandikwa mwanaume utakula kwa jasho)