Kiarabi, na kie brania Mungu kwa lugha yao wanaita Allah haimaanishi kitu kigeni ni kama sisi east africa kutumia neno shilingi kwenye currency zetu ni muingiliano wa lugha tu
Ila sisi tukikabwa tunawakimbilia polisi wakati mwingine ukimpigia tu mkuu wa kituo simu kua nasikia huku kwangu siyo SHWARI defender hii napo nisiwe nao karibu bado sijashawishika mtaani kwetu bila polisi hatulali
Huwezi kulima kwa 5m uvunje 90m upate faida 85 m huo ni uongo ka unataka kufanikiwa kwa hesabu hizo at least running cost utumie 40m ndo faida upate hiyo
Ukimuacha Munro wote mtakuwa mmempa uhuru wifi yenu ku enjoy na mumeo mkomoe wifi ako na wewe mzalie mumeo watoto wengine kisha mfanye sherehe ya kutimiza miaka kadhaa ya ndoa afu wifi yenu ashuhudie ila mfanye ajue kuwa unajua anachokifanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.