Una heka heka wewe😂😂😂😂 Sipiki shem wako ntamuwekea oda shishi food akale
Una heka heka wewe😂😂😂😂 Sipiki shem wako ntamuwekea oda shishi food akale
😂😂😂😂 Na hekaheka zinanipendaUna heka heka wewe
Hapo sawaUnahusika njoo unipe
Naona unafanya udalali wa danga likalipe kodi.😂😂😂😂 Na hekaheka zinanipenda
Thats good of you seems matured enough stay intouch please you will see me1. Age 1990
2.Single
3.Both
4.net
I didn't see you actually
Kupenswa??Kupenswa utake wewe na hela uombe wewe
kwamba huyu ndio yule hamnazo?Nikicheka naambiwa simpendi da mau si mnaona lakini??? 😂😂😂😂
Mrs Besyige Leejay49 Nuzulati Tayana-wog Mama Mwana
Unahitaji kuwa dangaNaona unafanya udalali wa danga likalipe kodi.
Uandishi wako unafanana na dada yangu mmoja kipenzi sana..!!! 🤣Jamani hadi ID mpya mnaikosoa kha aibu zenu kama hamtaki kunitafutia danga na kodi imeisha basi siwataki humu maana hamuendani na post yangu .
Nimesema natafuta marafiki wenye upendo sasa nyie mnaleta karaha hamna upendo
Jinsia ME😎
😂😂😂😂 Tutakufukuza kwenye uzikwamba huyu ndio yule hamnazo?
Danga hapana.Unahitaji kuwa danga
huyu wafanye wamnyang'anye simu au mwez mchanga?😂😂😂😂 Tutakufukuza kwenye uzi
kasema Leejay49 akikuta mnamjadili analike wengine mnacheka !! leo tumejua unafiki wa warembo wa JF mnamzunguka mwenzenu 🤣Da maua Unique Flower wanakuchokoza huku njoo tuwashambulie niko upande wako 😂😂😂😂
Umeona da mau nilikwambia ww ss hivi brand kubwa..!! 🤣🤣🤣