Recent content by mzebelele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

    Wamesema waraka ule uliandaliwa na kitengo...hakuandaa Mtikila
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maana ya Picha hii

    Shetani na nduguze
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

    Mwambie mwenza wako akishajisaidia atawaze kwa kutumia maji...asisote chini,tatizo atalimaliza.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

    Wamenunua mechi😊😊
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe apelekwa Kamati ya Maadili ya TFF, anatuhumiwa kwa uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira

    Ali Kamwe afungwe miaka 16 jela yenye ulinzi mkali na mateso mengi hadi aache kamdomo.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Yaani inaonekana imekuuma sana😊😊😊sema avatar yako tu inaonesha we ni mtu wa aina gani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

    Wanamuua😓😓
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serena Williams apanda jukwaani kumsapoti Kendrick ili kumuumiza X wake Drake

    Mnaongelea nini kwani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Lemere

    Kwa hiyo leo hii hakuna TISS?
  10. M

    JamiiForums Tanzania KWELI James mrithi wa Jameson Whiskey alishuhudia binti wa miaka 10 Congo akiuliwa na kuliwa baada ya kulipia vitambaa sita

    Yalikuwa mazingaombwe yeye mzungu hakujua,yaani uchinjwe usipige kelele?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu bado hawaja recover, Hawamini macho yao. Wanaugua Mioyoni mwao

    Nikajua retired tunayesubiri msiba wake october
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

    Rudi kacheck tena kwa umakini sukari na Hiv....usipuuze.
Back
Top Bottom