Recent content by myzar

  1. myzar

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu storage ya tecno W3

    Sorry nisaidie kunielekeza coz me pia natumia w4 simu nzito inaonyesha kujaa na hakuna mafile ya kutosha nilo download
  2. myzar

    JamiiForums Tanzania Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Samahanini wana jf mimi nina vifaa vya salon ya kike nina kila kitu sasa nachohitaji ni bank gani inayoweza kunipatia mkopo wa laki 5 tu nataka nikodishe flem nifungue salon problem yangu ni kodi vifaa ninavyo na wateja ninao ni mzoefu wa kazi ya salon
  3. myzar

    JamiiForums Tanzania Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Samahanini kwa anayefaham hili kwa kina anifahamishe Je ni kweli Bayport wanakopesha simu za smartphone na ofisi zao ziko wapi
  4. myzar

    JamiiForums Tanzania Avril: Kenyan Musician and Model

    Zari red ,wema sepetu blue
  5. myzar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada yangu ana jinsia mbili

    Nipe no ya ccta ako nimpe kaz yng
  6. myzar

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Wamachinga Msimbazi waua mtu kwa kukanyaga nyanya

    Nakuomba Raisi JPM fukuza machinga woootee wanaofanya biashara barabaran naichukia sana hii mijitu kwan hata wadada tukipita inaanza kutuvuta vuta na kutushika maungo yenu kuna siku nilimnasa bonge la Kofi ( lkn sio kofiolomide) machinga m1 pale karume
  7. myzar

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

    Ney wa mitego amesema wanajitia kumvesha wigi mh
  8. myzar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida za kulala uchi

    Nimesikia ukilala uchi unaingiliwa kimwili unampa nafasi shetan ya kukutaman na kufanya mapenzi nawe kuna post niliwah kuisoma humu humu JF
  9. myzar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Wajua madhara 12 ya kutokufanya mapenzi muda mrefu?

    Thanx #Nguvu ya Ajabu
  10. myzar

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

    Anajitafutia yeye mwenyewe kuchukiwa coz anapenda sana kiki za kishamba wema anapenda kuona muda wote wanamuongelea yeye tu midomoni wangapi hawana watoto mbn hawatukanwi km yeye anavyotukanwa deileeee wolper hana mtoto jide hana mtoto lkn walaa hawana habari , lkn sasa yeye toka 2006 mpk sasa...
  11. myzar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu wanawake wenye jinsia za kiume (shemale)

    Km huyo
  12. myzar

    JamiiForums Tanzania AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

    Namkubali dangote mpk nahisi kizunguzungu my favorite star in Tz
  13. myzar

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Ney wa Mitego wapigwa 'ban'

    Mjinga m1 huyo eti nimeweka no yng hapo nimeomba kutumiwa nyimbo ya ney na tayar nimeshatumiwa wenzie wastaarabu walikuja whatsApp moja kwa moja eti yeye limesubiri saa hz linaanza kunisumbua kunipigia ovyo Uck huu kila nikikata bado halielewi kwan hii namba nilimuekea yeye hapo anipigie usiku...
  14. myzar

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Ney wa Mitego wapigwa 'ban'

    Wewe mwenye namba 0656616295 ukome tena ushike adabu yako mpumbavu mkubwa ww ukome ukomae km ukivyokoma kwny ziwa la mama ako najua umetokea hapa shoga mkubwa wee
  15. myzar

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Ney wa Mitego wapigwa 'ban'

    :(
Back
Top Bottom