Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,156
- 7,807
ingekuwa burudani
Raha sana.
ingekuwa burudani
mbona hatari...basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
selfie huwa inakuja kwa kulala hivo au kumkumbuka shem?umesahau
9. inakupa mzuka wa kupiga selfie
hapana hakuna hatarimbona hatari...
wee!! emu apiabasi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
una mambo miss....kaka jambazi akinivamia namtisha .. ha ahhaha najimwanua mwanuuu ataogopa
Sio kangukapicha kako au? maana hiyo comment nilikuwa nimeku-quote wewe sijui imekuwaje ikaja peke yake
mi sipigi picha siku hizi, najiangalia kwenye kioo tu basi inatosha

Hata kifuniko cha asali huweki?Kwa kweli hata mimi huwa napenda kulala uchi kabisaa, hata chupi ni mwiko. Jamani mwili nao unahitaji hewa. Kutwa kucha umeufunika na nguo na chupi hata usiku? Nahisi hata kiafya huruhusiwi kulala na nguo inayokubana. Ni kosa kubwa.
mamabo madogouna mambo miss....
kama hupigi picha basi haitopatikanaSio kangu![]()
![]()
mi sipigi picha siku hizi, najiangalia kwenye kioo tu basi inatosha
![]()
![]()
1. Usingizi mzuri.
Joto la mwili litakuwa regulated more efficiently.Hamna distruption na joto inayosababishwa na nguo hivyo usingizi wa pono.
2. Self-esteem booster.
Watu wengi hawajiamini sababu hawapendi jinsi walivyoumbwa.
Kulala uchi kutakufanya uuamini na uukubali mwili wako.
Itasadia pia kuupenda mwili wako.
3. Utazidi kuwa mchanga.
Kulala uchi kunafanya kuwa na joto la mwili linalostahili ambalo growth hormones na anti-aging hormones zitafanya kazi vyema.
4. Fungal infections
Wanawake wako prone to fungal infections zinazosababishwa na joto na unyevunyevu kwenye sehemu zao za siri.
5. Increases virility.
Joto ndio adui mkubwa wa utengenezaji wa mbegu za kiume.Na ndio sababu testes imeumbwa nje ya mwili.
Kulala uchi kunafanya testes kupata ideal temperature ya utengenezaji na uhifadhi wa sperms.
6. Happier relationship
Kuwa na skin-to-skin contact kunafanya kureleasiwa kwa homoni ya oxytocin hivyo kuwa na uhusiano wenye furaha na more sex.
7. Keeps you active.
8. Saves money.
Hahahah. Hasa kule Pemba. Usijaribu hata kidogo!Siwezi lala uchi aisehh... tatizo watz umafia unakuwa mwingi sana mida ya usiku...
Hapana. Ukweli ni kwamba wavamizi wakikukuta uchi HAWAKUGUSI KABISA, unachotakiwa ni kuvumilia aibu tu. Kumbuka wavamizi wengi sio wabakajiSiku ukivamiwa ndo utaona umuhimu wa kulala walau na bukta
mh..basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi