Can someone teach me how to HATE on a country or a person pls? a beg oooh!! teach me coz whatever am reading here is hatred that my system can't absorb for a minute. I am a TANZANIAN. Born and bread in The Great EAST AFRICA REGION. First Language is my Mother Tongue, followed by Swahili, English...
Hii website itakupa msaada mkubwa wa kuweza ku-shortlist profile ya escorts wako tena bure bila gharama. Link iliopo hapo chini ni ya kuregister kama Agency, kisha under your profile, utaweza ku-ongeza as many profiles as possible. Agency Register | Mjini Escorts Directory
Hp Pavilion ni simple na basically unaeza itumia for general purpose na pia kwenye Video na Games. Kwenye Graphics pia iko vizuri. Ina RAM ya 4GB, Processor ya 1.5Ghz. Bei inaanzia $450 hadi $600. Inategemea na sehem utakayo ipata.
Kwanza kabisa ununuaji wa Kompyuta aina yeyote ile inategemea na kazi inayoenda kutekeleza. Kuna watu wananunua kwa ajili ya Games, wengine wanatumia basic office stuff, wengine kwenye music and video Editing na wengine pia kwa ajili ya umaridadi. Lakini for general purpose, Pata Windows 7, Home...
Sio kutojiamini mkuu. Ebu liwaze hili, kwanza mnaenda watu kama 3000 iyo ni written
mnapunguzwa mnabaki tena 1500 mnapiga nyingine tena
700 nyingine tena
350 discusion
175 discusiion
75 discussion
30 oral
Bado hauna uhakika kama upo au haupo manake unaeza ukawa kila kitu umepita ila Bongo...
Wewe upo Dar, duh! Mie nipo Dom lakini kwa message niliyoipata sioni kama ntafika na gharama zote hizo! Hafu inaonekana watu watakua wengi sana na nafasi yenyewe sjui ni moja tu.
Hehehe, Forever Living, GNLD etc....zote hizo ni Pyramid Schemes na wala usipoteze muda. Heri aendele na Kilimo. But chamsingi ni kwamba your husband awe persistent na anacho Kifanya. Kuna watu wengi ambao wamefanikiwa sana but wali-feli several times before they finally succeeded. Kama he...
This is interesting. Hivi tatizo liko wapi, Kadhi itakua inawaongoza waislam tu na matatizo yao wao kwa wao. Na kama huyo mwislam atakua ameenda kinyume na kipengele kingine cha katiba, labda kamkosea mkristo, then there must be a unifying factor which is supreme to the country and that is the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.