Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

Pole na hongera sana kwa habari ndefu.......

All in all watu hawajakutendea haki kukutukana wakati vingi ya vitu ulivyoviandika ni pointi. Watanzania tujifunze kuipenda nchi yetu.

Tatizo letu huwa tunakurupuka tu. Watu hawafanyi uchambuzi inapotkea mada yenye mguso wa aina hii. Kwanza mtu angejiuliza kwa nini anauliza hivyo? ameyatoa wapi? Je kuna ukweli? ni kiasi gani?...n.k alafu unajibu kwa uelewa na uchambuzi ulioufanya.

Hili ni fukuto ambalo watanzania licha ya kujivunia tu mali na utu wetu lazima tuangalie kwa jicho la tatu. Wapi tunataka kwenda? Viongozi wetu wanatupeleka wapi? je ni sahihi? wanayaona haya au zaidi au kidogo au hawaoni kabisa? Bila ya kukurupuka tujitazame. Maana Tanzania tunaweza kuwa hatupendwi kwa mengi zaidi ya haya. Maana sisi mara zote ni watetea Amani na Uhuru wa nchi majirani kama ulivyoelezea hapo juu ndugu Youandme. Na si kila mtu anapenda Amani kwa sababu kwa wengine usipokuwa na Amani kwako kwao ni mavuno.

Tuipende Tanzania, Tujithamini watanzania, Tuitete na Tuilinde Tanzania
 
Youandme such highlights, are essential in understanding the dynamic political scenerio in the great lakes region! Never give up the spirit of solidarity!

Viva.....Tanganyika......viva!!!
 
Last edited by a moderator:
A very good analysis. Huyu mheshimiwa nafikiri anafanya PHD kuhusu Afrika Mashariki. Sisi Watanzania tunapaswa tuwe macho sana na majirani zetu na marafiki zetu hasa hasa Wachina. Kwa namna serikali inavyowakumbatia watatumalizia rasilimali zetu sisi tukiwa tunaangalia. Obama kuja TZ naye amekuja kwenye shamba la bibi na sisi kwa upeo wetu mdogo atavuna sisi ni kuambulia mabua tu. International cooperation and intergration sawa lakini tunaingia kichwa kichwa tu!
 
Im not proud to b tanzania but im proud to be with God in my heart.
 
Hebu tufungue ubungo wetu,south Sudan, Ethiopia,Somalia,Nigeria je utambulisho wao kama kabila una tija kwa wananchi wa kawaida, ni ujinga kufikiria msaada utakupa maendeleo ewe mpemba ,Tanzania iko nafasi ya ngapi duniani kimaendeleo pamoja na msaada yote? Umoja Ndiyo nguvu mabeberu wanaogopa
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
 
Real ni long dialogue but imeeleweka
lets mantain our superiority and solidarity at large and shame upon those abusing you
 
Can someone teach me how to HATE on a country or a person pls? a beg oooh!! teach me coz whatever am reading here is hatred that my system can't absorb for a minute. I am a TANZANIAN. Born and bread in The Great EAST AFRICA REGION. First Language is my Mother Tongue, followed by Swahili, English and whatever comes my way in the journey of life. As a matter of fact, I have studied in Tanzania, Kenya, Rwanda and Even Uganda with an exception of Burundi and Somalia. But i have visited these countries of cause...and I want to visit the entire africa and learn from different countries.

1. What I do know about these countries is that my country Tanzania is just waking up hence fight on every single issue.

2. Kenya are the old dogs who think they have the technical know how.

3. Uganda actually pretends not to know Kiswahili...

4. Rwanda just woke up the other day and think they are much better.

But one thing i know for sure is that Majority of our our neighboring countries, 95% of their citizens, will not, and cannot hold a discussion against fellow neighbors, except for some few use + less politicians who want to serve their own ----ing interest. Infact, I highly doubt if 95% of a normal Kenyan citizen will discuss or get Jealous of Tanzania for whatever reason.

Youandme; being patriotic is not expressing a sense of Insecurity.Let's do our thing. If Kikwete is fighting with Kagame...just wait, uchaguzi unakuja na tutamchagua kiongozi mwingine ambaye anazingatia maendeleo yetu haswa kama watanzania. Wewe tatizo lako ni kwamba Kikwete akualikwa kuhudhuria mukutano Uganda...Do you know the genesis of their fight with Kagame, M7 or whoever the person. Usichanganye Uzalendo na upendo kwa mtu mmoja ata akiwa anakosea. Be sober mkuu, our neighbors need us and we need them ala! Hao viongozi Kesho na kesho kutwa wameondoka wewe na mimi ndo tunabaki tukiumia.

Mwingine huyu sjui ndo van Sam, wewe unasema umeishi na unaendelea kuishi na watu wapumbavu...basi na wewe ni mpubavu tu...tena maradufu manake umezipokea ujinga na unazozindika pia zinaonekana kama pumba tu.
 
Nikiulizwa natokea nchi gani nasema natokea Msumbiji na siku hizi ilivyokuwa tunawashinda wapakistani kwa biashara ya unga ndio kabisa nakaribia kubadili buku !
 
Lthread lenyewe lefu hapa hata sjamalza kulsoma, na watu nao et wanal quote! !!!! Kwan n lazma mfanye hvo???
 
Einstein had it right when he deemed nationalism an infantile disease.

Einstein was asked but refused to be the first Israeli president...seeing that the state of Israel was heading towards apartheid. He said something like: "If Israel does to the Palestinians what was done to them in the past then they [Israelis] would have learned nothing from their own suffering while in diaspora".
 
I have found the actual quote:

"If we are not able to find a way to honest cooperation and honest pacts with the Arabs, then we have learned nothing in our two thousand years of suffering, and deserve the fate which will befall us"
 
Im not proud to b tanzania but im proud to be with God in my heart.

Mimi ningekuwa wewe ningehamia Vatican, Jerusalem, au Mecca maana huko ndiko huyo mungu anakotokea. Huku tuliletewa wajumbe tuu (yaani missionaries, colonialist, slave riders) tukaingizwa mkenge...
 
Back
Top Bottom