Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

Dah kwanza imebidi nicheke,alafu kingine hao madem mnawapatia wapi umeonana nae leo leo unamtongoza na anakubali thenkesho mnapanga kugegedana?? Duh!! Unategemea kweli huyo atakuwa dem yaani mmejuana siku moja ya pili mnapanga mechi.
 
mmhh, hongera kwa kunusurika aisee, wangetajirika ghafla hao kwa fumaniz feki
 
Jana jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia!
Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes,
kwanza alikataa akasema ana haraka anawahi kwenda kupika ametoka sokoni kununua mboga,
lakini baada ya kumbembeleza sana alikubali kunisikiliza nami baada ya kujitambulisha tuliongea mengi naye akanieleza sio mwenyeji wa hapa ila alikuwa masomoni ndo amehitimu chuo na amekuja kumsalimia mama yake mkubwa.
Nilimwomba tuwe wapenzi akasema atanifikiria,
tulipeana contact then tukaagana.
Usiku nkampigia hakupokea nkajua amesinzia nikamtumia sms "good knite"
Leo asubuhi akanibeep nkampigia akasema amepata safari ya ghafla anataraji kurudi kwao Shinyanga hivyo nikamwomba ikiwezekana tuonane kabla hajasafiri akasema leo mchana atakuwa free,
kwa kua kwangu ni mbali na kwao alishauri nitafute guest mitaa ya karibu ili asichelewe kurudi nyumbani jioni.
Saa 8 unusu nshalipia chumba na kumuelekeza nilipo akasema anamalizia kuoga anakuja,
saa 9 nampigia simu hapokei baadaye anapokea anasita kuongea kisha anakata na kunitumia sms "honey niko njiani nakuja,
je uko chumba no ngapi?"
nikamjibu "niko no 9"
Nkiwa chumbani nikapata wazo la kwenda duka la hapo jirani kununua condom,
ile natoka dukani namwona demu anashuka kwenye tax akiwa na wanaume wanne!
Nilisita kidogo na hawakuniona,demu alitangulia halafu wale jamaa wakasimama nje kama wanapanga jambo flani kisha wakaingia ndani!
Demu akanipigia na kusema"baby nimefika chumbani hakuna mtu naona kuna vinywaji tu! Uko wapi?"
nikamjibu "niko toilet nakuja"
Nimejaribu kuchungulia naona wale jamaa wamesimama koridoni kama kuna mtu wanamsubiri!
Kwa bahati nzuri sikuja na usafiri wangu hivyo nlizima simu nikaondoka kimyakimya nkachukua tex mpaka hom!
Sijui nini kiliendelea huko lakn sa hivi nawasha simu nikakuta ujumbe huu
"i'm sorry baby,ckuwa na nia mbaya ila wakati nataka kuja mme wangu alinikuta na kugundua nawacliana na ww,amenipiga sana na kulazimisha nimlete gesti ulipo ndo tukaja ila nashukuru Mungu umenusurika alikodi watu watatu!
I love u,
mme wangu akisafiri ntakutafuta"
Wana MMU Wenzangu najiuliza huyu alikuwa na maana gani aliponiambia hajaolewa ndo kamaliza chuo na anaishi kwa mamkubwa!
Namshukuru Mungu kuninusuru na balaa hili mpaka sasa nimelala sina hamu na hawa mabinti!

Ishukuru sana Condom, japo inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa, lakini pia imekutoa chumbani ili ukainuue hivyo ukanusurika kufumaniwa!
 
Ishukuru sana Condom, japo inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa, lakini pia imekutoa chumbani ili ukainuue hivyo ukanusurika kufumaniwa!

Me nafikiri ajishukuru yeye kwa kuwa na tabia ya kujali.

Na asikome kuwa anaenda kununua condom duka la jirani kila mara atakapokuwa anapata apointment..
 
Kumegewa mke inauma sana, hivyo ili kuneutralize maumivu ya moyo na hasira lazma amfanyie kitu ambacho hatokisahau maisha yake yote. 0713 ni kitu ambacho kwa mwanaume rijali akifanyiwa ni udhalilishaji tosha yaheri umkate mkono na ndo habari ya mjini japo wengine wana prefer kukudhalilisha kwa kuita media za udaku.

Kwa maana hiyo dawa ya kugegedewa ni kugegeda alie kugegedea?
 
Cooked.ulimuomba dakika 5 alafu mkaongea mambo mengi.hahahahaha unajichoresha,na kama ni half cooked tayar unatumia dicloper
 
Mimi ni mmojawapo wa wale mabaunsa wanne. Una bahati maana tulikuwa tumepanga kukufanyia kitu mbaya mpaka uchakae. Uache uzinzi na wake za watu
 
umeona eeeh wajina sister hawa watakuja kutongoza hadi majini kwa kuendekeza ngono
Kuna mmoja ana uzi wake hapa kaachiwa pochi na mwanamke uko kigali...sasa ana angaika.....yani baadhi ya wanaume siku hzi sijui wako kwenye mashindano...mana wako fasta sana kwenye kuchungulia...
 
Last edited by a moderator:
Hii stail imekuwa kama fashion flan hivi! but nadhan kuna wengine wanaonewa kama huyu muungwana.
 
Almanusura wajipatie kifurushi cha "mini kabang"
 
Hii si kweli ila umejitahidi kuipika. Huu usomaji wa magazeti ya shigongo umelemaza vichwa vya vijana wengi. Taifa linaangamia kwa kushindwa kuallocate nguvu kazi kama hii kutwa kucha kutunga hadithi!
 
Hv huwa mnategemea nn kwa hao wanawake mnaokutana nao leo kesho wanakubali kugegedwa? Msichana mweny maadili kamwe hawezi kuwa hvyo, mtabaki kuwa mnatendwa hvyo kila cku kwasababu nyinyi wenyewe mnachagua wanawake waliokwisha potea njia hata mwez hammalizi mnakuja hapa ooh nimemfumania, sasa unategemea nn

Sio kila wanawake wana tabia ya ku-complicate matters kama wewe.

Its all about having sexual pleasure. Sasa ulitaka amchunguze kwani alipanga kumuoa?
 
Back
Top Bottom