BBC ni wabaguzi na ni wanafiki wakubwa!

BBC ni wabaguzi na ni wanafiki wakubwa!

Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC. Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.
'dochi vere' si ipo?
 
Wamechoka na comedy za JK wako!!!wao ni waandishiwa wa habari na si waandishi wa Komedy
 
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC. Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.

Hamna mtu aliye kulazimisha kuitizama au kuisikiliza BBC. Wewe una TBC na Clouds. walalmikie hao.
 
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC. Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.
we susa tu
 
Acha mkuu hulazimishwii mimi nitaendelea kuangalia!!!ulitaka wasome nini tena hapo?mipasho au????
 
Ajaribu tu kuingia website ya TBC aone vituko, hio website nadhani ilitengenezwa na katoto ka sekondari, ila kichekesho wafanyakazi wengi hapo labda watakuwa wamesoma mpaka Masters au PHD!
Ni aibu kwa kweli...
 
Mie nishawapiga chini siku nyingi. Mambo mazuri ya Tz hayatangazwi, kila wakitangaza ni yale mabaya tu. Tofauti kabisa na coverage yao kwa Kenya. Masuala ya Kenya hata kama ni ya kijingajinga yanapewa kipaumbele. Was****nzi!

utasikia eti oo..!maiti yakataa kuzikwa kenya.ukiwasikiliza hamna cha maana.
 
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC. Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.

Niliwahi kusema BBC ni idhaa ya kiswahili kwa ajili ya Kenya. DW wako fair sana. Kama unataka kusikia habari za Kenya, basi sikiliza BBC.
 
Mnaotetea BBC wote hamjitambui, mko hoi wodini Muhimbili..!
 
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC. Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.
hakupaswa kupata hata hicho kidogo alichopata naongea toka moyoni mwangu
 
Asilimia kubwa ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC ni Wakenya, unategemea nini?

Na Hata Journalism Africa Ilianzia Algeria na Kenya Kwanza ndipo Ikasambaa Nchi Zingine na Kuna Tofauti Kubwa Sana Kati Ya Waandishi wa Habari Wa Kenya na Hapa Kwetu. Wakenya Wana deal na Issues Na Watanzania Wana Deal na Mipasho, Umbea na Kujipendekeza Kwa Executives, Je na Wewe Unategemea Nini hapo? Reference Ndogo tu Ukiwa na Muda Leo Tizama News Bulletin Ya ITV au Channel Ten au Star Tv ( TBC1 Nimeitoa Kwani ni Takataka Tupu ) Kisha Ifananishe na Citizen Tv au KBC Ndipo Utanielewa Ninachokimaanisha.
 
Mnaotetea BBC wote hamjitambui, mko hoi wodini Muhimbili...!
 
Unajua maana ya BBC? Ni Shirika la Utangazaji la Uingereza, nafikiri hilo linapaswa kukupa jibu la Swali lako! ningekuelewa kama ungesema kwa nini TBC yetu haikufanya hivyo!

BBC Swahili ni yao lakini wadau wakubwa ni watu wanaoongea Kiswahili? BBC Swahili inamhusu nini mwingereza asiyeweza kueleewa Kiswahili?
 
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC.

Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.

.
Hutoba ya Jk kwa mtu mwenye uelewa ni hutuba ya dakika 15 tu, lajini yeye alifanya kurudia rudia yale yale kwa saa 2 na nusu.
Sasa mleta mada unataka bbc warudie rudie kitu kile kile sawa na jk?
.
 
Siasa nyingi zisizo na wanasisa ndio tatizo , leo hiki kesho kile nani achafue chombo chake cha habari kwa mambo yenu ya kitoto na misimamo isiyo na maana? Pelekeni ITV na Tv zenu za humu ndani .
 
Back
Top Bottom