Mwizukulu mgikuru, ni muhimu kutambua kuwa maumivu ya kuachana na mwenzi ni halisi na mchakato wa uponyaji hutofautiana kwa kila mtu.
Hakuna muda maalum wa kupona kwani inategemea mambo mengi na hutofautiana kati ya mtu na mtu.
hapana sio kukimbia majukumu.
[Tatizo] Hakukuwa na mawasiliano/makubaliano/Majadiliano kabla ya.... (hiki hasa) ndio kiini cha tatizo na somo kwa wengine walio katika mahusiano, mshirikishe mwenza wako kabla ya kufanya maamuzi yeyote yale.
de Gunner
- Muhimu: Na pia ili usiwe addicted na YouTube hakikisha unaenda settings na kuweka off history,
Na ili kuhakiskisha untumia muda kidogo zaidi basi unakuwa nachannel zako chache ulizo subscribe.
Mimi binafsi nimechukua hatua miaka kadhaa nyuma.
Hongera kwa kuchukua hatua nawe.
Je katika mkoa upi?
- Sababu: Yamkini kazi ikawepo Katavi, ile mlegwa yupo Lindi. (Umeona eeh, Ongeza maelezo kwenye post yako)
---
Nimeona ume update Post yako
Kinachokupatia unlimited internet sio kifaa, ni laini ya simu
Ukiwa na laini waweza kuweka kwenye kifaa cha 5G au 4G
Mfano mleta mada kifaa ni 4G, ila laini ni 5G na vifurushi ni vya 5G ndio sababu kwenye maelezo yake kuna hii sentensi.
== My take ==
Mleta mada hajafanya utafiti kujua bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.