Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,354
- 8,617
Kama imeshindikana inabidi ukubaliane na hali.
Nitakubeba my.Ntashindwa kutembea😒
Ooh kumbe,.
Ila kama sijawa mzazi bado
Kunako ntahema kwa shida😆Nitakubeba my.
95 zinazo takiwa 72 kiafyaUna ngapi mkuu? 😂
Upoo,kwanza zamani ulikuwa mdogo unatembea,unacheza na wenzio, chakula cha kupangiwa na wazazi huna option, Sasa huchezi na hayo mazoezi mpaka uamue,kula unajipangia Mwenyewe! Hapo ndio shida ilipo.Ilaa
Nimekaa nikakumbuka zamani kidogo,. Kipindi ambacho hata ule kitu gani ( haijalishi ni wanga au protini ) Kilo zangu hazijawahi kuvuka 50,. Yaani zinacheza kwenye 48kg zikizidi sana 52kg🤗🤗
Sikuizi napambana walau nipungue nifike Tu 70kg (ndio imekuwa my dream weight 🥺🥺).. Yaani nacheza kwenye 86, 87 nikizubaa kidogo Tu 90 hii Hapa 😩😩
Kuna kipindi nilijipangia ratiba nzuri Tu nikawa nafanya mazoezi kila siku, baadhi ya vyakula nikaacha na fasting siku2 kila wiki,. Ila ukipima unakuta ndio Kwanza umeongezeka kila Mbili au tatu badala ya kupungua... I gave up
Kuna nguo zangu nilikua navaa zamani saizi naziangalia Tu nabaki kutikisa kichwa kwa huzuni,.
Watu sasa wakianza kukwambia "umenenepaaaa" hata kujipost nowadays naogopa ikibidi sana napost pictures za zamani kwasabu watu lazima wanotice and I can't take it as a compliment 😭😭
🙌🙌🙌
Kula vizazi, magimbi, mboga mboga, matunda iwe ndo chakula chako, nyama achana nazo,utatoavushuhuda humu, mdogo wangu wanamuamkia Mimi wanasema, Mambo!Unene sio mzuri
Kuna sie wengine ni kama PUTO kunenepa na kukonda vinapishana ndani ya muda mfupi. Ingawa kukonda ni KAZI sana kuliko kunenepa.Sijawahi vuka kilo 58. Nifanyaje ninenepe aisee, nikinenepa nanenepa mashavu tu.
Bonge Lily Tony msaada please
View attachment 3650216
Mimi na kilo zangu 60 vipi niongeze au nibaki nazo hizihizi
Mimi na kilo zangu 60 vipi niongeze au nibaki nazo hizihizi
Ndio unaweza kula hasa ya kuchemsha.Nitajaribu nizingatie na hii,.
Mayai si naweza kula??