Recent content by Mwiyuzi

  1. Mwiyuzi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

    Vihingo siyo Mlandizi, Vihingo ni Kisarawe 🤣
  2. Mwiyuzi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kinauzwa kiwanja Dar es salaam, Bunju

    Kiwanja hiki bado kipo?
  3. Mwiyuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Saa 09:04 mpira bado haujaanza 🤣🤣🤣 Nadhani ni kwa kuwa wanajua tajiri wao kaujaza uwanja, ndiyo maana hawajali ratiba ya wananchi wao
  4. Mwiyuzi

    JamiiForums Tanzania Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

    Hata mimi nahitaji. Nikipata maeneo ya Temeke itakuwa vizuri zaidi
  5. Mwiyuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Designer wa Jezi za yanga chali . Kila design mbovu Ameludia sana . Investors weren’t happy

    Haya zimeshatoka, mi naona jezi za Yanga zina mambo mengi kama batiki
  6. Mwiyuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aucho katumwa na Chama. Simba jichanganyeni tena

    Mbona msimu huu alikuwepo ubingwa tukakosa na kuwa kwenye nafasi ya tatu!? Aende zake huko uto. Hakuna kumbembeleza
  7. Mwiyuzi

    JamiiForums Tanzania Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

    Mkopo wa muda mfupi benki ndo una riba kidogo. Chukuwa usiozidi miaka miwili
  8. Mwiyuzi

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIVULE

    Hauwezi kukata na kuuza nusu? Mf ukakata na kutoa viwili 800sqm @each kwa 10 M?
  9. Mwiyuzi

    JamiiForums Tanzania Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Wanajituma katika kufanya kazi, kwa sababu wanalipwa vizuri. Mwajiri asipokujali, hata ile bidii ya kufanya kazi, inakata. Maana ukikaa unawaza utatokaje kwenye lindi la umasikini
  10. Mwiyuzi

    JamiiForums Tanzania Mishahara kulipwa na Benki Kuu,je wana uzoefu au ndio issue za kuchelewesha mishahara?

    Hata mi nashangaaga wanavyong'ang'ania mpaka tarehe fulani ilihali urefu ndo ule ule! Hata ukipewa tarehe 10 si utasubiri mpaka 10 nyingine ya mwezi mwingine? Ni yale yale yaani
  11. Mwiyuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

    Nimekuelewa mno mkuu!
  12. Mwiyuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

    Aliyesema mtoto ni tatizo ni nani?
  13. Mwiyuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

    Oh pole sana dear...I can feel it!
  14. Mwiyuzi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Moja ya Sababu zinazopelekea mkulima kuangukia pua kwa kilimo cha mwanzo

    Hahahahaha dah mkuu kama unaniona vile! Mi ndo mara yangu ya kwanza kulima ufuta, nikaanza na ekari mbili. Nikawa nalima kwa simu. Nimeamua kuachana na kufuatilia maana nimeambiwa mazao yameharibika...siwezi kuongeza gharama kwenda shamba kukagua wakati naona nshapata hasara tayari
  15. Mwiyuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninunue HP au dell

    Iko fresh. Ni nzuri kuliko window 7. Usiogope vitu vipya. Ukiizoea utamfuata jamaa kumuomba msamaha [emoji2]
Back
Top Bottom