Recent content by MWINYMVUA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya hesabu wa Uber na Bolt

    Mkuu naomba kujua huko km kuna gari kwa dereva mwenye leseni A,B,C1,C2,C3,D Naendesha coaster, canter,pickup,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo: Nina Suzuki Carry, nataka kumpa Dereva ambaye atakuwa akiniletea malipo kwa wiki

    Mkuu km carry moja ipo pending tuingie mkataba
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa haraka, nimevurugwa mie

    Uza Mayai na vifaranga mpaka utakapokuwa sawa kiuchumi ndio uendelee kutotolesha na kufuga mwenyewe haraka ya nini usiuze gari mjini kuwa na gari binafsi ni muhimu sana
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jihadhari kukopesha ndugu fedha

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hadi machozi hii style nilikua naitumia sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Hongereni sana. Vp Asst customs officer nao waliitwa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Ndio nyie jana mlikua kwenye semina na maboss wa tra? Jana niliwaona kwenye taarifa ya habari
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, this is serious. Tafadhali usiruhusu hili!

    Haya mambo ya utawala bora cjui utawala wa sheria ndio yameifikisha nchi hapa. Now hakuna kucheka na kima awatumbue tu ila asiishie tu kutumbua vile vile ayakamue hayo majipu mpaka kiini kitoke yani amtumbue huyo kabwe na awakamue na wote walioshirikiana na kabwe kula Pesa za serikali
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Mmh kupima c wanapimwa wanafunzi tu hao makamanda wanaotoa mafunzo kwani nao wanapimwa ikitokea umepata Demu kumbe mnashea kugegeda na kamanda wako c majanga hayo. Kinga muhimu jichanganye uikanyage miwaya. Gambe halina stress km hizo za magonjwa Km gambe ruksa hata mi ningeenda ila tatizo umri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Hv Kwenye mafunzo hayo unaruhusiwa kupiga gambe?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki kabisa, hasa kwenye jamii ya waafrika wastaarabu!

    Daaah noma sana au amekula kitoweo cha pasaka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 4

    Nahitaji huo mkopo namimi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 4

    Bank gani hiyo uliyochukulia Mkopo bila kujua utafanyia biashara gani hizo pesa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia na Magufuli nani ni bingwa wa kumbukumbu?

    Mkuu Matola hapo umetudanga eti mbatia kaanza ubunge kabla ya magufuli wakati wote wameingia bungeni kwa Mara ya kwanza mwaka 1995 magufuli kafanya kazi ya ubunge kwa miaka 20 mfululizo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia na Magufuli nani ni bingwa wa kumbukumbu?

    Mkuu Matola hapo umetudanga eti mbatia kaanza ubunge kabla ya magufuli wakati wote wameingia bungeni kwa Mara ya kwanza mwaka 1995 magufuli kafanya kazi ya ubunge kwa miaka 20 mfululizo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kienyeji na matikiti kwa bei ya chini kabisa

    Hongera sana Mkuu
Back
Top Bottom