Nauza mayai ya kienyeji na matikiti kwa bei ya chini kabisa

TAJIRI MSOMI

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
495
513
Habari Zenu Wadau wa Jamii Forum!

Mimi ni Mkulima na Mfugaji wa Kuku.

Sasa mazao yangu ya kuku pamoja na Matunda yapo tayari ,natafuta soko.

Matunda nina Ekari Tano Approx Matunda 15,000 na kila tunda nauza elfu 2500-3000 shambani (Maelewano yapo).

Kwa upande wa kuku nauza mayai ya kienyeji Trey moja 15,000 kwa mteja wa rejareja na kwa mteja wa Jumla yaani kuanzia trey 10 kwa siku kwenda mbele nauza 14,000.

Pia natotoresha vifaranga kwa Sh.10,000 trey moja,na kifaranga kimoja cha siku moja nauza 2000 na cha mwezi mmoja nauza 5000.

Ukichagua kufanya biashara nami nitakufundisha mbinu nyingi za biashara na kuweza kufuga kuku wengi kwenye banda dogo kabisha na bila madhara yoyote.

Nawakribisheni sana, piga simu
0766943145 au 0767574794 au 0652579747
 
Attachments

  • kuku wa malawi2.JPG
    kuku wa malawi2.JPG
    86 KB · Views: 245
  • kuku wa malawi.jpg
    kuku wa malawi.jpg
    37.4 KB · Views: 185
  • tikiti.jpg
    tikiti.jpg
    11.5 KB · Views: 140
Habari Zenu Wadau wa Jamii Forum!

Mimi ni Mkulima na Mfugaji wa Kuku, Sasa mazao yangu ya kuku pamojana Matunda yapo tayari ,natafuta soko,Matunda nina Ekari Tano Apporx Matunda 15,000 na kila tunda nauza elfu 2500-3000 shambani (Maelewano yapo) na Kwa upande wa kuku nauza mayai ya kienyeji Trey moja 15,000 kwa mteja wa rejareja na kwa mteja wa Jumla yaani kuanzia trey 10 kwa siku kwenda mbele nauza 14,000 .Pia natotoresha vifaranga kwa Sh.10,000 trey moja,na kifaranga kimoja cha siku moja nauza 2000 na cha mwezi mmoja nauza 5000.Ukichagua kufanya biashara nami nitakufundisha mbinu nyingi za biashara na kuweza kufuga kuku wengi kwenye banda dogo kabisha na bila madhara yeyote.Nawakribisheni sana, piga simu 0766943145 au 0767574794 au 0652579747
Unapatikana wàpi?
 
Habari Zenu Wadau wa Jamii Forum!

Mimi ni Mkulima na Mfugaji wa Kuku.

Sasa mazao yangu ya kuku pamoja na Matunda yapo tayari ,natafuta soko.

Matunda nina Ekari Tano Approx Matunda 15,000 na kila tunda nauza elfu 2500-3000 shambani (Maelewano yapo).

Kwa upande wa kuku nauza mayai ya kienyeji Trey moja 15,000 kwa mteja wa rejareja na kwa mteja wa Jumla yaani kuanzia trey 10 kwa siku kwenda mbele nauza 14,000.

Pia natotoresha vifaranga kwa Sh.10,000 trey moja,na kifaranga kimoja cha siku moja nauza 2000 na cha mwezi mmoja nauza 5000.

Ukichagua kufanya biashara nami nitakufundisha mbinu nyingi za biashara na kuweza kufuga kuku wengi kwenye banda dogo kabisha na bila madhara yoyote.

Nawakribisheni sana, piga simu
0766943145 au 0767574794 au 0652579747

Mbona unaandikiwa text hujibu unakuwa online unatoka hujibu? Dah..
 
Mmh kwa hiyo hapo ndo bei rahisi hahaha tray kuanzia 10 elfu 14,000??
Tikiti 2500 hilo shamba super market??
 
Mkuu inategemea aina ya vitu ulivyozoea kutumia,ninavyosema mayai tray moja kwa bei hio namaanisha,mayai yangu ni fertilized na yana ubora wa hali ya juu,ukitaka mayai ambayo sio fertilized nauza mpaka 8000 tray, tikiki la bei hio naona kwako ni geni pia,lakini namaanisha tikiki kweli,tikiti moja linapima kilo 17, 2500 ni bei ya kutupa kabisa,Alafu uwe makini unapotaka kupata ufafanuzi wa jambo sio kukurupuka tu mkuu!
 
Wewe pia uwe makini unapotoa post utoe na vitu vya kumshawishi mteja aridhike na unavosema mfano piga picha ya tikiti Moja la 2500 tuone as a sample
 
Mkuu inategemea aina ya vitu ulivyozoea kutumia,ninavyosema mayai tray moja kwa bei hio namaanisha,mayai yangu ni fertilized na yana ubora wa hali ya juu,ukitaka mayai ambayo sio fertilized nauza mpaka 8000 tray, tikiki la bei hio naona kwako ni geni pia,lakini namaanisha tikiki kweli,tikiti moja linapima kilo 17, 2500 ni bei ya kutupa kabisa,Alafu uwe makini unapotaka kupata ufafanuzi wa jambo sio kukurupuka tu mkuu!
Mkuu tikiti moja kg 17???ukubwa wake ni zaidi ya ndoo mtoto?
 
huku jf wengi sio wanunuzi kwa hivyo mleta mada kaa makini na post zingine ....kuna mtu hata hela ya mswaki inamshinda ila kwa dharau mmm
 
Back
Top Bottom