Mbatia na Magufuli nani ni bingwa wa kumbukumbu?

Ni Aina Yangu Tu Ya UBUNIFU Wa KUCHOKONOA Mada Ila Ukweli Ni Kwamba Nimewatega, Mmetegeka Na Sasa Mnacheza Ngoma Niliyotaka Muicheze. Nafurahi Sana KUCHEZA Na AKILI Za Watu. Sijui Kwanini Mwenyezi Mungu ALINIPA ZAWADI KUBWA YA AKILI, MAARIFA, MBINU Na UJANJA Na Hakuwapa Wengine. Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na kadoda11 Njooni Huku Muwasaidie MAPOPOMA Wenzenu Kwani Angalau Nyie Kidogo MNANIWEZA Ila Siyo Hawa. Nitawatesa Mno.
Ha ha haaa! Eti ubunifu! Sadam wa Kuwait upooo!
 
Ha ha haaa! Eti ubunifu! Sadam wa Kuwait upooo!

Naona Na Wewe Unatafuta UMAARUFU Kupitia GENTAMYCINE. Mwenzako Hapo Juu Kaja PUPA PUPA Nimemtuliza Sasa KANYWEA Mwenyewe Huku AKITAFAKARI, Naona Na Wewe UMEFUFUKA Sana Kutoka Pangoni. Utaniweza Lakini?
 
Hapa ni mahakamani? Wewe ndio ulete ushaidi Wa kupinga nilichoandika ili uniprove wrong, hivi wewe ni Wa wapi?
He who alleges must prove, wewe ndio umesema kua yeye ndio mpinzani wa kwanza duniani kutoa speech bila kusoma mahali popote, kwa maana kwamba unaushahidi wa hilo, tunauomba, tujiridhishe.
 
Namwona hapa Clouds TV 360 mbunge wa Vunjo James Mbatia akijibaraguza kujifanya ni mtu wa kumbukumbu kila anapojibu hoja. Kwa mfano kila akiulizwa swali na kamoga badala ya kujibu hoja anaanza kwanza kutaja jina la mtu, mara tarehe ngapi, mara saa ngapi na siku ipi.

Sioni mantiki ya yeye (James Mbatia) kutaka kutuonesha kuwa ana uwezo mkubwa wa kumbukumbu na najua atakuwa anafanya hivi makusudically kabisa ili kama vile kumjibu rais Dr. Magufuli kuwa hata yeye ni " genius " vile vile.

Naomba sasa tujadili hapa hivi kati ya huyu Mbatia (mbunge) na Magufuli (rais wa nchi) nani ni bingwa aliyetukuka kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kumbukumbu na ambaye anaonekana hakariri bali vitu (data) zinatoka tu kwa mtiririko kichwani?
pole kwa kujitesa kuangaika kumuonea wivu Mbatia.
unajua maana ya neno 'Genius' ?
 
Thread yako ina define hata umri wako, wewe ni Dogo na umevamia jiji kwa pupa, Moron.

Flash back Mbatia ameanza kuwa mbunge kabla hata ya Magufuri 1995, na yeye ukitaka kumjuwa vizuri reflect kwa Dada yake ambaye ni mbunge Wa East Afrika anaitwa Ndelikijo Kessy, kwa wanaowajuwa wachaga wale Wa Marangu Mawenya ni automatically anakuwa Kessy sawa na Mbatia. ( Tutusa kama wewe hata usome hii post miaka 100 huwezi kuelewa nilichoandika hapa.)

Genuine bonafide Mbatia ndio binadamu Wa kwanza duniani kuhutubia hotuba ya kambi ya upinzani bila kusoma popote miaka hiyo hata Magufuri hajawaza kuwa mbunge.

Mbatia wa kwanza, wapi?
 
Yani unavyosema uginius in which terms? sijakuelewa genius ni mtu anayetunza data akazisolve arafu akaziimpliment arafu akaangalia matokeo. sasa kama unafanya analyses ubase hapo. na data kama ni miaka basi kumbe na wanahistoria nao ni maginius basi.
 
Mkuu Matola hapo umetudanga eti mbatia kaanza ubunge kabla ya magufuli wakati wote wameingia bungeni kwa Mara ya kwanza mwaka 1995 magufuli kafanya kazi ya ubunge kwa miaka 20 mfululizo
 
Mkuu Matola hapo umetudanga eti mbatia kaanza ubunge kabla ya magufuli wakati wote wameingia bungeni kwa Mara ya kwanza mwaka 1995 magufuli kafanya kazi ya ubunge kwa miaka 20 mfululizo
 
hiv magu anajua kingereza hata kidogo ha ha ha ha nakumbuka ile im not a politicians columbia university ooooh i mean university of columbia aaaah colombia hahahahaha ngachoka mie
Hahahaaas kaka di unajya disi wasukuma matamdhi ni janga keetu
 
huyu mmoja taarifa za madaraja alikua ana hifadhi kichwani..
ila nimegundua ni kichwa cha kunguru..
leo atasema wananchi mkatae mabadiliko kesho anasema tunataka mabadilikooo...
leo aseme nitashuhulikia mgogoro wa zinj kesho aseme mimi sihusiki na huo mgogoro...
 
uwezi kumlinganisha jembe na viti maalumu.
Uwezi =huwezi, to correct you, mbatia si mbunge wa viti maalum wala wa kuteuliwa mburukenge ww! MBATIA NI MBUNGE WA KUCHAGULIWA NA WANANCHI JIMBO LA VUNJO-NCCR CHINI YA MWAMVULI WA UKAWA!
 
Hauwzi mfananisha mbatia na jpm ni mbingu na ardhi.mbatia ni namba nyingine kabisa huyo magu hamna kitu ni mnafiki tuu kama wewe
ooh my God! Mtu ambaye hajui kati ya Policy na Mtaala wa Elimu unatangulia upi?!?!? Mtu ambaye anajidai Tanzania haina Mitaala bila hata kujua jinsi mitaala inavyopatikana! To me no Mbatia hapana ni wale watu waliojaliwa kuwaeleza watu uongo fulani halafu wakaamini.
 
Mada nyingine hasa hovyo,yaani kama kuna watoto wa nursery school wanafungua humu,wanajua kweli kuna watu wakubwa lakini chenga nyingiii.
Asante kwa kutupunguzia uhai wa macho
 
Huyu pombe Ana uwezo wa kumuingi mbatia sema kapata zari tu
Ohh my God Unafananisha Mlima na Kichuguu. Kwa Upande wa UKAWA anayeweza angalau kujaribu kulinganishwa nae ni . Dr. Slaaa Baasi. Halafu nadhani hapa ndio itakuwa mwisho wa Thread. Nadhani wengi hawana uelewa huu. Seminary za RC huwa zinachukua CREAM ya Juu kabisa. Sasa hapo mnaobisha wote mtanielewa!
 
Back
Top Bottom