Recent content by mwinura

  1. mwinura

    Naungama...! Natubu..!

    Tunamkosea Mungu kwa mawazo, kwa maneno, Kwa matendo, Na kwa kutotimiza wajibu ..na tunatubu dhambi zile tunazozikumbuka na zile tulizo zisahau.. Amina
  2. mwinura

    Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

    Whitedent ile ya kijani tsh1000 mwezi mzima unaisha.
  3. mwinura

    Maana ya Picha ya nyoka katika baadhi ya nembo za hospital

    Katika hali yakaida nyoka ni mnyama ambaye ni adui mkubwa wa binadamu. Lakini nashangaa kuona baadhi ya hospital tena zile zinazo milikiwa na taasisi za kidini katika nembo zao kuweka picha ya nyoka. Je hii huwa inamaanisha nini ?
  4. mwinura

    Nuru Ilikuwepo hata Kabla Ya Jua, Nini Source yake?

    Kumbuka Kuw Kabla ya nuru giza lilikuwa limetanda juu ya nchi. Kitabu cha mwanzo 1:2
  5. mwinura

    Hivi ni kweli Lowassa alishinda uchaguzi 2015??

    Unafikri atawadanganyaje wafuasi wake ili wazidi kumwamini?
  6. mwinura

    Kwa mnaofuatilia sitasahau ya Redio Free Africa: Simulizi ya Michael juu ya Mery

    Baada ya kushindwa kwa baadhi ya mipango ya kumuangusha Mr fales, mery alipata wazo la kwenda kwa viongozi wakuu wa kanisa la Mr fales na kudai kuwa ameitelekeza famila hivyo inatakiwa kuvuliwa uchungaji, mpango huu nao ulishindikana baada ya kukosa ushahidi wa kutosha ukiwa ni pamoja na Mr...
  7. mwinura

    TV one mmeharibu kazi

    Ujumbe umetufikia. Endelea kuwa mpenzi wa Tv1
  8. mwinura

    Kisayansi kifo ni nini? Kidini kifo nini?

    Kwa mjibu wa Dr Elvid Waminiani ,kupitia clouds fm katika Kipindi cha Temino. Anasema kwamba, watu hawafi mwili ndo umakufa lakn nafsi yako inakuwa hai Siku zote
  9. mwinura

    DW swahili

    Kama kweli vile.
  10. mwinura

    Mchango wa Kumsaidia Tundu Lissu Matibabu Nje ya Nchi

    Hiyo namba imethibitishwa? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom