Nuru Ilikuwepo hata Kabla Ya Jua, Nini Source yake?

Kwa Ufupi ni kuwa Nuru iliumbwa kabla ya Mianga mingine kuumbwa.

Nuru ni kiumbe kama viumbe wengine Mkuu. Nilitegemea kwamba utauliza nini Chanzo cha giza au ni kitu gani kinacho fanya giza liwepo?

Uliwahi kuona Mwanga mweusi,?

Machi yako ndio huona hivyo uonavyo lakini katika ulimwengu mwingine unaweza ona tofauti.

Kwa mfano, Mimi ni miongoni mwa watu wanaoitaa huku wanafanya kitu halisi.

Kuna siku niliamka usiku nikatoka nje nikiwa ndotoni na ninaona kabisa wakati macho yamefumba na kwa bahati ni kuwa ukiwa unaota hata kama ni usiku unaona vizuri sana japo kuwa hakuna ule mwanga wa jua.

Uliwahi kujiuliza kwa nini watu wa aina hii huweza kuona wakiwa ndotoni japokuwa wamefumba macho yao.
 
Aisee
 
Kijiografia inajulikana kuwa

Kwa maana ya kuwa jua ndiyo chanzo kikubwa cha mwanga wa duniani na joto vilevile,

Nimekuwa nikijiuliza source nyingine ya Nuru ni ipi? tofauti na jua?

Nuru ilikuwapo kabla ya jua!! source yake ni nini?
Hii ya kuwepo Nuru kabla ya jua nimeipata kutoka

Genesis Chapter 1:3

this proves that light was created before The Sun..

Jua linakuja kuumbwa siku ya nne
Genesis 1:14

Thats is from the Holy Book. Bible

Naamini humu ndani kuna wataalamu sana wanaoweza kuja hapa
na tukajadiliana kwa hoja..

Njozi zako huwa zinatoa wapi mwanga hali wewe umefumba macho ndani ya chumba chenye giza totoro?
NB: MUNGU HAHITAJI MWANGA KUONA, ANA NURU YAKE!
 
Kumbuka Kuw Kabla ya nuru giza lilikuwa limetanda juu ya nchi. Kitabu cha mwanzo 1:2
 
Soma Biblia vizuri utajua kuhusu utukufu wa Mungu.

Biblia inasema Yesu Kristo atakaporudi kwa mara ya pili hata jua litaona aibu na kusogea pembeni kwa kuwa kutakuwa na mwanga mkali zaidi ya jua.
 
Back
Top Bottom