Kisayansi kifo ni nini? Kidini kifo nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisayansi kifo ni nini? Kidini kifo nini?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Helper, Jul 25, 2012.

 1. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Wana jf naomba kujulishwa kifo husababishwa na nini, mwanzoni nilifikiri kuwa kifo hutokea pale moyo unapoacha kufanya kazi , lakini nikaja gundua hali hii ikitokea kunamashine ya kusukuma damu na mtu anaendelea kuishi. Mwenyekufahamu please nijulishe.
   
 2. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Helper

  Death: Scientists Reveal What It's Like To Die


  Most of us have probably wondered what it is like to die - so scientists have tackled the issue head-on and revealed the macabre yet fascinating truth.

  New Scientist magazine has pondered the subject in great depth in its latest issue, discussing the various ways of meeting one's end, from being burned alive to drowning and decapitation.

  The experts have taken their evidence from advances in medical sciences and accounts from lucky survivors.

  Whatever the mode of death, it is usually a lack of oxygen to the brain that delivers the "coup de grace", says the report.

  But in case there are still questions, here are some of their conclusions:

  Drowning:
  Victims first panic and try to hold their breath, typically for 30 to 90 seconds. Survivors have reported a "tearing and burning" sensation as water enters the lungs - but it is quickly followed by a feeling of calmness and tranquility. Oxygen deprivation results in loss of consciousness, the heart stopping and brain death.

  Heart attack:
  A "squeezing" chest pain, or feeling of pressure, is the most common symptom as the heart muscle struggles for oxygen. Disruption of the normal heart rhythm effectively stops the heart beating. Loss of consciousness can occur in about 10 seconds and death can follow minutes later.

  Loss of blood:
  Marked by several stages of "haemorrhagic shock". Anyone losing 1.5 litres of blood feels weak, thirsty and anxious. By the time two litres are lost, people experience dizziness, confusion and eventual unconsciousness.

  Electrocution:
  A household electric shock might stop the heart, leading to unconsciousness after around 10 seconds. Higher currents through the heart or brain can produce almost immediate unconsciousness. However, it has been claimed that prisoners executed with the electric chair may actually have died from heating of the brain or suffocation.

  Fall from a height:
  Survivors of great falls often report the sensation of time slowing down. A study of 100 suicide jumps from San Francisco's 246-ft-high Golden Gate Bridge found numerous cases of instantaneous death involving collapsed lungs, exploded hearts or damage to organs from broken ribs.

  Hanging:
  Hanging suicides and old-fashioned executions cause death by strangulation. This can lead to unconsciousness in 10 seconds but a poorly placed noose may result in many minutes of suffering. "Long drop" hangings are designed to break the neck. But a study of the remains of 34 prisoners executed in this way found that four-fifths died partly from asphyxiation.

  Fire:
  Burns inflict intense pain, and boost the skin's pain sensitivity. As superficial nerves are destroyed, some feeling is lost - but not much, according to experts. But most people who die in fires are actually killed by inhaling toxic gases and asphyxiation.

  Decapitation:
  Beheading can be swift and painless but consciousness is believed to continue for a short time after the spinal cord is severed. Experts have calculated that the brain might remain functioning for seven seconds. Reports from guillotine executions in France cited cases where movements of the eyes and mouth were seen for up to 30 seconds.
  .
   
 3. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Thanx lots Mkuu umenitoa gizani lakini utata bado upo kwenye soul , mfno mtu anaugua tunaambiwa kakata roho, roho ninini? Hadi kuchukua uhai wa mtu? Na je m2 wakati wa kufa anatambua kuwa anakufa?
   
 4. E

  Euphransia JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2017
  Joined: Jan 26, 2017
  Messages: 941
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 180
  Wadau Kwa wanasayansi naomba kujua kifo ni nini Na pia Kwa wana Dini kifo ni nini?
   
 5. mbere

  mbere JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 5,737
  Likes Received: 4,330
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimewazaaa, pamoja na kuwa muumini mzuri sana wa kikristo,

  Mi naona "Kifo ni kama vile unapokuwa umelala, sasa tofauti na usingizi wa kawaida huu usingizi wa kifo unalala milele".
  Wewe unazungumziaje maana ya kifo?
   
 6. Joseverest

  Joseverest Verified User

  #6
  Sep 18, 2017
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 36,189
  Likes Received: 41,360
  Trophy Points: 280
  Sijui aisee kwa maana sina uzoefu na kifo
   
 7. mbere

  mbere JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 5,737
  Likes Received: 4,330
  Trophy Points: 280
  Mkuu hivi umerudi? Nilisikia ulilala ujue!!!
  Basi utaishi siku nyingi sana
   
 8. Samaritan

  Samaritan JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2017
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 8,435
  Likes Received: 8,668
  Trophy Points: 280
  Ukilala mapigo ya moyo yanasimama? Unaacha kupumua?
   
 9. Joseverest

  Joseverest Verified User

  #9
  Sep 18, 2017
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 36,189
  Likes Received: 41,360
  Trophy Points: 280
  Nipo mkuu..sijalala
   
 10. Khalifavinnie

  Khalifavinnie JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2017
  Joined: May 19, 2017
  Messages: 636
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Daaah
   
 11. djzm70

  djzm70 JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2017
  Joined: Apr 16, 2014
  Messages: 3,511
  Likes Received: 1,574
  Trophy Points: 280
  Kamuulize israeli mtoa roho
   
 12. Jitu jeusi

  Jitu jeusi JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2017
  Joined: Oct 18, 2015
  Messages: 1,270
  Likes Received: 1,342
  Trophy Points: 280
  Kifo n kurudi kwenye hali ambayo ulikuwa kabla ujazaliwa.... ambayo sisi sote hatuijui ingawa ndio tumetoka huko
   
 13. ywf

  ywf JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2017
  Joined: Aug 3, 2017
  Messages: 451
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 80
  kifo ni usingizi mzito ambao utaisha siku parapanda itakapolia
   
 14. mwinura

  mwinura Member

  #14
  Sep 18, 2017
  Joined: Jul 22, 2017
  Messages: 56
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Kwa mjibu wa Dr Elvid Waminiani ,kupitia clouds fm katika Kipindi cha Temino. Anasema kwamba, watu hawafi mwili ndo umakufa lakn nafsi yako inakuwa hai Siku zote
   
 15. mbere

  mbere JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 5,737
  Likes Received: 4,330
  Trophy Points: 280
  Dr. Elvid alikufaga? Kwamba anajua mambo t
  ya roho? Ni uwongo uwo mkuu hakuna maisha
  Hakuna kitakachoamka baadaya ya kufa
   
 16. ZENJIBARIA

  ZENJIBARIA JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2017
  Joined: Feb 26, 2014
  Messages: 470
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 180
  science na dini havitoi maelezo ya kutosha juu ya kifo,ili kujua kifo ni nini ni lazima ujui wewe ni nani ulikuwa wapi kabla ya kuzaliwa, hapa ulipo saivi ni wapi na utakuwa wapi baada ya kufa,elimu zetu zote hazitoi maelezo ya kufahamika juu ya mambo haya.

  wazungu wanasema true knowledge is power( elimu ya kweli ni nguvu) elimu tunazofundishwa zinatuondolea nguvu kwa vile hazitoi maelezo kamilifu ili kufahamu sisi ni nani,tunatoka wapi, wapi tupo na tunakwenda wapi, badala yake mambo mengi tumefundishwa kwa kuyaamini kwa njia za imani za kidini na sio kuyajua kwa kuwa na vielelezo

  bianaamu tunazaliwa na kuingia duniani(kwenye uhai) wakati dunia ipo kwa muda mrefu kabla ya sisi kuzaliwa,ni sawa na kuingia cinema filamu ipo kati au inakaribia kumaliza,kama hapana mtu mwaminifu wa kukupa kisa cha filamu kilikuwaje huwezi kufahamu kitu,na kama kuna wana wana nia ya kukupotosha juu ya kisa cha filamu utakuwa umepotea huwezi kujua ile filamu ina maana gani

  cha muhimu tuache tabia ya kutegemea watu wengine kutwambia mambo muhimu,tuwe na awezo wa kufikiria na ku-filter upotoshaji kama kuna upotoshaji juu ya maisha yetu ( just remember true knowledge is power,no one will give it to you)

  nliataka niendelee kutiririka zaidi lakini nahisi kama ntatoka nje ya topic na ntawaboa wasomaji bora niishie hapo
   
 17. leonidace kamgisha

  leonidace kamgisha Member

  #17
  Sep 18, 2017
  Joined: Nov 7, 2016
  Messages: 15
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  Kujua kifo ni swala dogo mno lakini litakuwa gumu muno kama hujajijua wewe ni nani ?
  Na ukitaka ujue we ni nani lazima ufute yote unayohisi unayajua na uanze upya kutafuta hasa hicho kitu wewe naa kwa ninavyo kuona unaogopa kifo kwasababu unahofu na kifo kama hofu hauna uwezi ogopa kifo je nani anakutia hofu ya kifo je hichp anachokutieni hofu alishawahi kukihishi je hofu ni nini na chanzo cha hofu ni nn .

  Siku ukijua mambo kama hayo kifo kitamu sana ha ha ha ha haaaa utatamani ufe ha ha ha ha ahaaaa
   
 18. fogoh2

  fogoh2 JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2017
  Joined: Apr 13, 2017
  Messages: 418
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 60
  Dah
   
 19. toroka uje mjini

  toroka uje mjini JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2017
  Joined: Mar 29, 2017
  Messages: 897
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 180
  Mtoa Mada ungekua una Dini
  Ungepata jibu lako la
  NINI MAANA YA KIFO
  Hapa Naona unatupotezea muda kuchart na Mikafiri isiomjua MUNGU WAO ALIOWAUMBA..
  Hakuna Mwanasayansi anaemuamini MUNGU
  Wote hao ni Makafiri tu
   
 20. Hance Mtanashati

  Hance Mtanashati JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2017
  Joined: Nov 22, 2016
  Messages: 4,081
  Likes Received: 6,370
  Trophy Points: 280
  Mada ni nzuri ila umeshindwa kuiwasilisha vizuri.
   
Loading...