castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,821
- 3,293
Shida yako ww unadhan akili za watu zimelala kama kipindi cha tisiniMimi ni CHADEMA ila naweza sema hakushinda.
CCM ina wabunge na madiwani kuliko UKAWA ingekua ngumu eti mtu achague mbunge na diwani CCM halafu Rais UKAWA.
CHADEMA wajikite sana vijijini huku mjini tushawaelewa, huko vijijini ndiyo kulikoifanya CCM ishinde