Recent content by mwenenga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotafuta kazi kwenye mabenki na taasisi za fedha

    pamoja mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotafuta kazi kwenye mabenki na taasisi za fedha

    Kwa wale mlio interested kufanya kazi kwenye mabenki na taasisi za fedha hii ni list ya hizo banks and financials institutions. Kazi kuna zile zinazotangazwa na zisizotangazwa, so unaweza kuingia kwenye website ya benki husika na kucheki kama wanatumia utaratibu wa kuapply online au unaweza...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

    ha ha ha ha ha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Olympus Has Fallen VS White House Down

    naomba unipe website za kudownloadia movie zilizo poa na hazina longolongo
  5. M

    JamiiForums Tanzania TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

    acha uzushi ndg.maneno ya vijiweni hayo.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania jaman mh

    yani umeniboa ulivyoandika.nenda hukohuko face book huku sio kwako.sijakuelewa ila mpe tu yeyote anayetaka kukugegeda ndo ushauri wangu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    dah inahuzunisha kwa kweli.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada please

    omba internship ndg yangu.hii itakuwezesha kupata experience.mwanzo mgumu ndg
  9. M

    JamiiForums Tanzania Financial security

    kwA sisi wa dsm tufanyeje na nauli za kuja mwanza mimi binafsi sina
  10. M

    JamiiForums Tanzania Re: Utumishi wametoa nyingine

    punguza hasira ndg hizo habari una proof nazo mbona unataka kukatisha tamaa watu??kama una ushahidi weka jamvini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makamu Wa Rais Akutana Na Kibanda

    mkuu we ndo umeongea.yuko wapi dk ulimboka mpaka leo kimyaaa.chezea serikali wewe,huyu jamaa nae ndo basi tena hatutamsikia tena akisema chochote.nachukia sana wanaharakati wa namna hii.haya ndo keshakutana na serikali tena tuone kama harakati ataziendeleza
  12. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hivi ndivyo ilivyo, Mbeya hawaitaki CCM. MBOWE Atikisa uchaguzi mdogo Iyela

    daah yani apo chadema mmefurahiii.maana kama ingerushwa ile video jamaa anafunga kufuli ofisi za chadema kwa kushindwa kulipa kodi najua mngetokwa na mapovu mdomoni kwa kuongea kashfa hapa na matusi.chadema bwana
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 10 Foods that will improve your Sex Life

    plzzz mkuu kama ilivyo iweke kwa kiswahili wengine st kayumba ndg.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wangapi wamesoma kitabu hiki

    inawezekana mkuu maana wabongo kwa kucopy na kupaste tu hatujambo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Clouds FM poleni: Yule yule Sugu mliyempa ban leo anahukumu hatma yenu...

    ni waziri kivuli wa.......tafuta mwenyewe umalizie kinyume cha hapo hutufai jamvini humu
Back
Top Bottom