jaman mh

jaman mh

utakoma na huo aundishish wako, na bado wataendelea kula hiyo pusupusu mpaka ujue kuandika. Ila sahau kuolewa, yaani mwanume anayeoa mtu aliyezaa ananikera kupita meelezo, yaani kubikiri ukose na hata kuzalisha uwe wa pili? aaaah!
mkuu punguza hasira kidogo,maana nikifuta hisia za uandishi huu hakika umekasirika,doooooh
 
Huyu dada na hisi hayupo hata chuo maana uandishi huu mmh majanga,sasa sijui tutamsidia je mimi niliyepitia kayumba nimeshindwa sijui nyie wenzangu msaidie mawazo jamani.doooooh
 
ndauliiiii!!!

ktk maisha yangu nlbahatka kktana na kjana miaka 3 ilopita tkashndana coz alkua n mnywaj (c mlev) thn m nkaja zangu chuo by th tym nlkua cngle tu.Kmbka nlshskua na friend b4 thn nkaona ka mbabaishaj iv nkamweka kando,

Nkiwa first yr friend akarud kwa kas mpya mwee ktanda hakzai haram, nkakbeba for th first date tym kwel nkatnza na kabnt nw n kakbwa tuu

Sasa yle mpenz kard ameacha knywa na anajua nna mtoto bt he z ready to take responcblty

put on mynd kwamba baba mtoto ypo ila sss mh ye care yake iko kwa mtoto tu na hayo mtunzo tu ktoa n hekaheka wakat mwngne hyu yko serriouz ad kwao wananfaham na ass if m ad nashndwa kuelewa

ckuwah kjuta kzaa bt hwa nnajuuta kzaa na hyu nlozaa nae...

nfanyj niolewe na tuu na hyuu

Andika kisawasawa hapa unadhani unamtumia nani text hapa? na kwani ni lazima uandike kiingilishi kama kiingilishi chenyewe ni zero?
 
Huu uandishi wa hivi huwa unanichosha kwa kweli...nina imani wataalam wa shorthand wapo na watakusaidia ushauri mwayego....
 
yani umeniboa ulivyoandika.nenda hukohuko face book huku sio kwako.sijakuelewa ila mpe tu yeyote anayetaka kukugegeda ndo ushauri wangu.
 
Huu uandishi unakera sana ni uvuvu wa kuandika au haraka????

Aaaarrrrgh
 
...ngoja nivae mawani labda ntaambulia mistari angalau miwili...
 
Lugha ganiii! Alafu hawa ndo wasomi wetu!!! Andika vizuri
 
ndauliiiii!!!

ktk maisha yangu nlbahatka kktana na kjana miaka 3 ilopita tkashndana coz alkua n mnywaj (c mlev) thn m nkaja zangu chuo by th tym nlkua cngle tu.Kmbka nlshskua na friend b4 thn nkaona ka mbabaishaj iv nkamweka kando,

Nkiwa first yr friend akarud kwa kas mpya mwee ktanda hakzai haram, nkakbeba for th first date tym kwel nkatnza na kabnt nw n kakbwa tuu

Sasa yle mpenz kard ameacha knywa na anajua nna mtoto bt he z ready to take responcblty

put on mynd kwamba baba mtoto ypo ila sss mh ye care yake iko kwa mtoto tu na hayo mtunzo tu ktoa n hekaheka wakat mwngne hyu yko serriouz ad kwao wananfaham na ass if m ad nashndwa kuelewa

ckuwah kjuta kzaa bt hwa nnajuuta kzaa na hyu nlozaa nae...

nfanyj niolewe na tuu na hyuu

Huu uandishi wako wa ki facebook unatia kichefu chefu andika upya
 
Sijaelewa kitu...Lugha uliyotumia ni yakuzimu..
 
Umezaa? Afu unaandika hivi?
Poor kids, hawachagui wazazi.
 
Back
Top Bottom