Olympus Has Fallen VS White House Down

Olympus Has Fallen VS White House Down

Olympus has fallen ni zaid ya White houseDown,wahusika tuu ndio gap kubwa la kwanza,Jamie Foxx ktk WHD ameharibu kuigiza kama Pres,tena wa nchikubwa,maaana ni dhairi kbs Rais awez fanya baadhi ya vitendo kama....U cant touch my sneaker,pale iliharibu kabisa!kwa wanaujuo issue za law enforcement mechanism ni sahihi kwa Olympus has fallen na sio kwa WHD,kwa utalaamu wangu wa mambo,white house kuwa attacked ilileta uhalisia ktk Olympus kuliko ktk WhD
 
Olympus has Fallen ni balaaaaaa!!!! Ile ambush ndani ya White House ni noumaaaaaaa!!! Ikipigwa vile kiukweliiii hatoki mtu hakyanani!!!
 
Kwa wadau wa movie
Filamu mpya ya Anton Fuqua THE OLYMPUS HAS FALLEN inaangukia kwa star Gerald Butler anayecheza kama mwana usalama aliyepoteza ajira yake kutokana na kifo cha first lady kilichosababishwa na ajal ya gari.. Lakini anapata nafasi nyingine ya kurudisha heshima yake pale anapojaribu kuiokoa ikulu ya Marekani kutoka kwenye mikono ya magaidi.

Miezi michache baadae Director Roland Emmerich nae anatoa filamu mpya inayokwenda kwa jina la WHITE HOUSE DOWN yenye mwonekano na mahadhi kama filamu ya the olympus has fallen katika movie hii anajaribu kuchanganya ladha ikiwamo kumweka Rais mwenye ngozi nyeusi (Jamie Foxx) pia anamjumuisha Channing Tatum ambae anacheza kama mwana usalama anae jaribu kuiokoa ikulu ya marekani kutoka kwenye genge la magaidi..

Movie zote mbili ni nzuri lakini mi nimeipenda zaidi White house down kwa jinsi walivyoweza kulchezea limousine (The Beast) ya Mr Prezidaa.. Ipi ni movie nzuri kwako?
jamaa namkubali sana ..na movie zote hizo ni chini yake...
ila nimependa idea ya olympus has fallen..
 
mie napenda sana movie za kiupelelezi...hizi za secret agents...zinazohusu white house.
 
kaka kama una line ya voda unajiunga na wajanja night sh 200 tu kuanzia saa 4 usiku kisha unapakua hayo makitu kiulani kabisa maana unaiacha inadownload unaenda zako kulala ukiamka asbh unakut mzigo tayari.Nimeshapakua nyingi sana tena zenye quality ya HD kwa dizaini hiyo

naomba unipe website za kudownloadia movie zilizo poa na hazina longolongo
 
naomba unipe website za kudownloadia movie zilizo poa na hazina longolongo
Hakuna longolongo Mkuu, link hii hapa chini. Mambo ya kununua movies nilishasahau kabisa. Nikishapakua nazitumbukiza kwenye external HD baada ya hapo naunga kwenye Samsung flat tv iliyounganishwa kwenye Home Theatre ya ukweli nakula vitu kama vile niko Sinema.

New Movies to Download, New Films Releases 2013

Usiache kunigongea like ukishafanikiwa.

Ukiitaka Olympus has fallen link yake hii hapa (tena ni HD)

Olympus Has Fallen 2013 DVDRip - Free Movies Torrent Download

Ukiitaka White House Down link yake hii hapa

White House Down 2013 R6 HDCAM - Free Movies Torrent Download

Kuna jingine Mkuu?
 
Kwakweli zote hazina uhalisia, ila kidogo olimpus imejitahid kuliko whd coz white house ya marekani haiwez vamiwa kirahisi vile, labda wangeigiza ikulu za Africa......mtazamo tu#
 
White house down cha mtoto saaaaaaaaaaaaaana kwa Olympus has fallen.
 
naanza na quotes " Mr President are you Okay- Vice President?"Define okay-President (Jamie Fox)"-White House Down
"The Most protected building in the world is under attack-Reporter kwenye one of the TV Chanel"- Olympus Has Fallen
kwangu mie Olympus Has Fallen nadhani ndiyo bora zaidi cause baada ya white house kuwa attacked ni full action mpaka mwisho tukio baada ya tukio (full suspence)
white house down nimeipenda tu jinsi president alivyokuwa mtu wa utani na nimempeda dogo wa Channing alivyokuwa anafanya mambo kikubwa.
HITIMISHO " Olympus has Fallen is best na nadhani inaweza kuwa ni moja kati ya sinema nzuri sana zilizotoka mwaka huu"
 
Back
Top Bottom