10 Foods that will improve your Sex Life

10 Foods that will improve your Sex Life

Mwali,

Hizo Menu unazomuandalia unatafuta balaa ukifika 48 mwenzako ndio kwanza kama yupo 22 sasa sijui mtaishi vp
 
Ukipita uswahilini Manzese utawasikia wadau wakisema hata viroba vina boost lol!
 
Kula mrungi kisha shushia na kiroba halafu mtafute anaejiamini muingie kwenye mech, asipoomba maji ya kunywa basi atatukana ukoo wako wote
 
Hizo menu zote bila mazoezi ya viungo ni nothing,mazoezi ni njia kuu ya kuimprove uwezo wa mwanaume,kuna kipindi nilikua mnoma hadi ikabidi nipunguze,maana mboko nilizokua nacharaza kidogo nikimbiwe!
 
Tende ina sukari nyingi haifai kwa matumizi ya binadamu ngamia ni mnyama haramu kama nguruwe bidhaa zitokanazo na Ngamia pia ni haram.

240px-07._Camel_Profile,_near_Silverton,_NSW,_07.07.2007.jpg
=
Pig-2.jpg
 
Duh hiyo list vyote vyakula vyangu hususan red chill na water melon haya wacha ninufaike
 
AHSANTE KWA KUTUELIMISHA KAKA. ENDELEA KUFANYA HIVYO KILA MARA LAKINI NINAOMBA UFAFANU ZAIDI JUU YA KIPENGELE No. 2, what is OYSTERS? Na naomba unipe mifano ya vyakula vyenye oysters vilivyo katika mazingira yetu ya kitanzania.
 
depression and a bad diet can be the reasons behind your low sex appetite. By simply changing your food plan, your libido can make a turn to the better. Here are ten foods that will get you in the mood more often:
1. Avocado. A fruit that was used back in 200 b.c by the aztecs as an aphrodisiac, still serves that purpose today. Rich in vitamin e, avocados help boost your energy levels and improves stamina.
2. Oysters. we all know that fish and sea food are great aphrodisiacs due to their high zinc and phosphorus content which have a reputation for being great for love and fertility.
3. Chili peppers can get you to sweat, speed up your heart beats, and fire you up. They help the brain release endorphins (aka happy hormones) which get you in the mood.
4. Bananas; a feel- good food that helps with serotonin production and triggers testosterone production in males. Being rich in potassium and vitamin b, bananas will boost your energy power as well.
5. Watermelons; the summer’s official fruit is known to have a viagra-like effect on the body. It relaxes the body and improves circulation to all your organs when eaten in large amounts.
6. Arugula and asparagus have been notorious for their aphrodisiac power all the way back to the first century a.d. They’re full of minerals and anti oxidants which exhibit many benefits, the most important being boosting libido and sexual desire.
7. Pumpkin seeds. Being high in magnesium, the seeds help raise testosterone levels in males.
8. Maca powder is a peruvian root vegetable that can be added to food, bread, cakes, salads, or even smoothies. It is great for people who suffer from lack of libido due to anti-depressant intake. It can be bought online or at natural food stores.
9. Ginger; a blood thinner that helps your circulation and helps your body respond to sexual stimulation faster. It also aids in digestion so it’s great after a heavy meal.
10. Dark chocolate. Yes, you heard me. Cocoa stimulates the production of “happy hormones” (serotonin and dopamine) therefore instantly uplifting our spirits.
plzzz mkuu kama ilivyo iweke kwa kiswahili wengine st kayumba ndg.
 
1. Mazoezi ya viungo (physical exercises)
2. Kitunguu swaumu.
3. Tikiti maji.
4. Tango.
5. Mlo mzuri

Ukiwa na kili utajua kwanzia namba 1-5 ina saidia kuwa na mzunguko mzuri
wa damu hivyo kukupa nguvu. Hakuna uchawi, Zaidi ya yote,akili iliyo tulia.
 
pepper na avocado now i'm going to have those aisee...
 
Back
Top Bottom