Huyu ni Phd
Huyu ni Phd
mkuu we ndo umeongea.yuko wapi dk ulimboka mpaka leo kimyaaa.chezea serikali wewe,huyu jamaa nae ndo basi tena hatutamsikia tena akisema chochote.nachukia sana wanaharakati wa namna hii.haya ndo keshakutana na serikali tena tuone kama harakati ataziendelezaukisoma ile makala yake kwenye gazeti la mawio la wiki ya jana kaweka wazi kabisa waliomteka na kumtesa ni maaskali kwani aliwasikia wakiambizana na kuita afande huyu hapa mpige risasi. Sasa habari kama hizo si nzuri kwa serikali kwani imekuwa ikituhumiwa na wadau wa habari, wanaharakati na wananchi kuwa inahusika na matukio yanayowakuta wanahabari . Hivyo dhamira ya mkutano huo moja kwa moja ni kumtaka rai kibanda asiliongelee suala hilo na si vinginevyo.
Huyu ni Phd
hivi wewe ni Manyerere ninayemjua au siye? siamini kama unaweza kuandika huu utumbo!
pesa ni nini? watu wanataka kujua watesaji na hatua za kuchukua ili yasitokee tena,siyo kutibiwa na serikali.
wakianzisha operation ya kuwang'oa kucha na macho kisha wanawatibisha bure utakubaliana nao?
punguza tamaa ya pesa kamanda!
mkuu ni dk wa wanyama