Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

alafu nikifuzu nakufuata tuka jaribu kwako kama niko fresh.?

ha ha kweli unapenda ligi wanaume hawaongei
sana bana!!!
Mimi huniwezi hii chakla ya baba zako kupakwa shombo sijazoea
 
Mkuu ila naona tatizo la kujichua nalo limekua kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kitu kinachosababisha kupungua kwa nguvu....

Kuna kautafiti fulani nilikasoma mahala(jina limenitoka) kana sema kati ya vijana 10 wanaooa 6 wameshajichua katika maisha yao, na watatu huendelea kujichua wakiwa katika ndoa...
Unafikiri hili laweza kuwa si chanzo??
 
Mjitahidi mpate jibu ili mrekebishe hili swala inaniuma maana nilimuacha mpezi wangu nikiwa bado nampenda yani akisimamisha inalegea mwe! Hakuna raha ya mapenzi tena. Ah! Samahani kumbe me tu.
 
Madem wengine magogo tu kitandani sio hamsha hamsha wala nn na bdo wanataka nao bao tano ahaaa aahhaa!!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hainihusu hii.. Pamoja na uchovu wote wa pilika za kutwa mzima napiga 5 per night,nmekulia kwa babu mimi,asubuhi Nguna la mtama,mitindi kibao,magimbi mwanzo mwisho jioni mazoezi-kazi kwenu ma blazaman wa chips ,mayai na ma bites mnaolala hadi saa tano asubuhi ndo mnaamka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Umeandika vya msingi kabisa.

Samahani kwa kuvamia . . . msinipige mawee puliiiiz naondoka sasa hivi!!
 
Yaani ni serious issue. Nawapongeza kwa kulikubali na kulifanyia kazi kaka zangu. Najua ninyi ni wanaume hakuna linalowashinda! Good luck!
 
Hainihusu hii.. Pamoja na uchovu wote wa pilika za kutwa mzima napiga 5 night,nmekulia kwa babu mimi,asubuhi Nguna la mtama,mitindi kibao,magimbi mwanzo mwisho jioni mazoezi-kazi kwenu ma blazaman wa chips ,mayai na ma bites mnaolala hadi saa tano asubuhi ndo mnaamka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Tano per night haisaidiii kitu
Piga mbili makin
 
Mjitahidi mpate jibu ili mrekebishe hili swala inaniuma maana nilimuacha mpezi wangu nikiwa bado nampenda yani akisimamisha inalegea mwe! Hakuna raha ya mapenzi tena. Ah! Samahani kumbe me tu.

Ungemsaidia kwa kumpa ushaur
Na kumtatulia matatizo
 
ile ni kazi kama kazi nyingine kikubwa hasa ubunifu,ushirikiano na kuzingatia mazoezi ndiko hitajiko kuu la kusaidia hili vilevile...matumizi ya vilevi,sigara navyo si vizuri kwa afya..
 
Ukipiga zoez hata kdogo..pata karanga mbichi,mihogo mibich ya kutosha na supu ya pweeza kwa wingi...hata asemaje ila ukimpandia ataelewa 2
 
hao wanawake waliotoa hayo maoni maoni sio wengi ukilinganisha na idadi yao, nafikiri watakuwa ni wanawake wa kitanga, wao wanajua mapenzi tu!!! ukirudi nyumbani badala akwambie pole na kazi yeye anakuuliza leo utanipiga mabusu mangapi??
Nawashauri wakopi swaga za wanawake wa kichaga.
 
eti Ph-25 kwa nini unalaumiwa shughuli huwezi?
Tatizo na nyie hamna huruma, unakuta mtu kachoka na shghuli za kutwa halafu ukirudi home unataka nikupe vitatu kila siku, ndio maana wengine huwa tunachelewa kurudi home tunapitia nyumba ndogo wasiko lalamika, wao ukipiga chap chap wala hawajali ndio kwaanza wanakurembulia macho.
 
Mjitahidi mpate jibu ili mrekebishe hili swala inaniuma maana nilimuacha mpezi wangu nikiwa bado nampenda yani akisimamisha inalegea mwe! Hakuna raha ya mapenzi tena. Ah! Samahani kumbe me tu.
Hhahahaah, nadhani namfahamu huyo jamaa..

Ana dimples eeh?
 
ha ha ha eti nyumba ndogo
Tatizo na nyie hamna huruma, unakuta mtu kachoka na shghuli za kutwa halafu ukirudi home unataka nikupe vitatu kila siku, ndio maana wengine huwa tunachelewa kurudi home tunapitia nyumba ndogo wasiko lalamika, wao ukipiga chap chap wala hawajali ndio kwaanza wanakurembulia macho.
nikupm unifanye nyumba ndogo yako au?
 
Back
Top Bottom