Recent content by mwasimali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatumbua Wakurugenzi walioshindwa kujibu maswali kwenye Mkutano Mjini Bukoba

    Kama nimesikia vzr alisema amewasamehe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sasha yamkuta, atapeliwa na wajanja wa mjini

    Jamaa karudisha ghalama zake
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi definition yako ya uzuri wa mwanamke?

    Nadhani tuanze kwa kuelewa utofauti wa uzuri na urembo
  4. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

    Vipi unazungumziaje kumpenda mtu asiyekujua nao tunauita ujuha au tuuitaje Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanyonge sasa tuna furaha, Serikali ya awamu ya tano ni ya wanyonge

    Mleta mada unanishangaza kidogo,unasema watu wasishinde bar ila washinde shambani kwakuwa unajua tunatakiwa kuongeza mali kwa kazi halali ili tuwe matajiri ILA hapohapo unajionesha kuwa wewe ni fukara au masikini. Nadhani ni busara ungeanza wewe kushinda shambani ili uwe tajiri alafu urudi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Maadili ya TFF yamsimamisha Haji Manara wa Simba kwa mwaka 1 na faini ya Milioni 9

    Tatizo tunaowapa usemaji wa timu ni watu ambao hawana weredi na kazi hyo matokeo yake wanaropoka tu hovyohvyo,timu zetu ziangalie watu wa kuwapa nafasi hiyo. Haina tofauti na ulimi unavyoweza kuuponza kichwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pilipili

    Kwa soko la wapi,mfano kuna shamba lipo kigamboni jamaa alikuwa anauza ndoo shs 40000 mwez wa 11
  8. M

    JamiiForums Tanzania Najilipua Tena Kilimo cha tikiti

    Hasala umeipataje kwa awamu hiyo ya kwanza
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie rekebisheni yafuatayo niangalie movies zenu

    Huko ni kuigiza maigizo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kubenea uko wapi, rais anakutafuta kwenye Uzinduzi wa Hostel Chuo Kikuu

    Mimi nilidhani mheshimiwa raisi anaongoza listi ya watu wanaotatua matatizo ya wananchi kumbe yeye anatatua matatizo ya mbunge,maana matatizo ya wananchi na yeye yananuhusu na anatakiwa ayafahamu maana ana serikali iliyopo kila sehemu kwahyo taarifa anayo. Kusema eti mbunge angekuwepo na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Hiyo video imewekwa kwenye account ya hao vijana au imewekwa kwenye account za watu gani huko Instagram
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fake News: Watangazaji 9 wa TBC waliotangaza Trump amsifia rais Magufuli, Wasimamishwa kazi

    Kama wafanyakazi wamesimamishwa vip kuhusu kukanusha hiyo habari,maana kama watu wamewajibishwa ina maana kosa limetokea
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Tanzania ya vi-wonder
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    Nnachoshindwa kuelewa kama waliweza kumtaja kuwa anahusika na madawa ya kulevya wanashindwa nn kumshtaki kwa kusema uongo na kumsingizia mkuu wa mkoa. Kwani ugumu upo wap had wanashindwa. Waanze kwanza kumshtaki kwa kusema uongo na kumsingizia mtu alafu na ikithibitika ni kweli kuwa anasingizia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fake News: Watangazaji 9 wa TBC waliotangaza Trump amsifia rais Magufuli, Wasimamishwa kazi

    Nadhani busara ni kuifungia tbc yenyewe maana kuwasimamisha wafanyakaz kadhaa bado sio dawa,tabu ni kufanya kazi kwa kutaka kuwafurahisha watu fulani na sio kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu za ufanyaji kazi. Bado kuripoti mambo aliyoandika LE MBEBEZ Instagram kwenye taarifa ya habari
Back
Top Bottom