Najilipua Tena Kilimo cha tikiti

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
623
Wakuu habari, baada ya mpigo wa kwanza ulionipa hasara takriban eka 2 zote za tikiti najipanga nirudi tena shambani,kwaajili ya tikiti
Naomba mwenye mawazo au ushauri kwa wazoefu wa kilimo. Karibuni
Naomba pia nipate msaada wa maeneo ambayo ni productive.
 
Mkuu kaa chini tulia, kabla ya kukupa ushauri ni vema uweke wazi hapa ili wadau wajue je hiyo hasara ya ekari mbili umepataje pataje labda? tuanzie hapo kwanza.
 
Hatua ipi ilikufanya uanguke?
Taja tukupe technical wayout ninao uzoefu mtambuka kwenye hiki kilimo.
Kilichonipa hasara ni kijana wangu wa kuniangalizia shamba hakuwa mwaminifu, kwani nilipata kuuguliwa sasa nikashindwa kufika shamba mara kwa mara kama wiki 2, kumbe hakuwa anahudumia chochote wala kupalilia na kupelekea nyasi kuota sana na hivyo tikiti kudumaaa maana lilikuwa kwenye critical period ya kunawiri
 
Ok kumbe ulifail kwenye usimamizi. Awamu hii umejiandaaje na umepanga kulima wapi?

Nakukaribisha Moro, huku unakuja na mtaji na mbegu zako then everything will be monitorred and supervisored by me, you will be required to regularly visiting the project.
Warmly welcome...
 
ebwana ndugu kisima, huko morogoro mahali gani? pia makadirio ya mtaji kwa ekari mbili unaweza kufahamu?
 
Asante sana,basi naomba PM ili nipate namba ya simu, tatizo kuu kwangu ni usimamizi wa uaminifu aiseeee maana mitaji mpaka tujichange sasa ikiharibika inauma sana
 
Turiani mkuu.

Mtaji wa ekari 2 haizidi 1.5M kama utalima hybrid na itapungua kidogo kama utalima sugar baby ambayo yenyewe siyo hybrid.
NB Turiani ni 300km kutoka Dar na inawezekana kufanya safari ya kwenda na kurudi kwa siku moja.

Karibu!
 
Kwangu sio rahisi kuharibu mtaji, ninao uzoefu, ni shughuli ambazo nimekuwa nikifanya kila mara,
vifaa vyote vipo na shamba kubwa lenye rutuba.

Karibu...
 
Ok kumbe ulifail kwenye usimamizi. Awamu hii umejiandaaje na umepanga kulima wapi?

Nakukaribisha Moro, huku unakuja na mtaji na mbegu zako then everything will be monitorred and supervisored by me, you will be required to regularly visiting the project.
Warmly welcome...
Kaka nitaomba nikutafute nimevurugwa kabisa nilikuwa na eka 12 za mpunga na 20 za miwa zimeungua moto zote na kwenye mpunga nimebaki na eka 5 zingine uzembe wa kijana niliemwachia kazi nimeenda nimekuta hajapanda eka 3 na zingine 3 alimwaga badala ya kupanda maji yalikuja mengi yakapitia mpunga wote na kuna hawa samaki wanaitwa njuju wamekula mpunga nina uchungu ila nimeamua kumsamehe I look foward I love agriculture I can never give up I will fight back
 
Turiani mkuu.

Mtaji wa ekari 2 haizidi 1.5M kama utalima hybrid na itapungua kidogo kama utalima sugar baby ambayo yenyewe siyo hybrid.
NB Turiani ni 300km kutoka Dar na inawezekana kufanya safari ya kwenda na kurudi kwa siku moja.

Karibu!
Kaka nasikia hasira na uchungu sana mimi naomba nifike huko Turiani mambo yangu ya kifedha yakikaa sawa nije nilime vijana wa kazi hawa hamna aisee
 
Turiani mkuu.

Mtaji wa ekari 2 haizidi 1.5M kama utalima hybrid na itapungua kidogo kama utalima sugar baby ambayo yenyewe siyo hybrid.
NB Turiani ni 300km kutoka Dar na inawezekana kufanya safari ya kwenda na kurudi kwa siku moja.

Karibu!
Kaka nasikia hasira na uchungu sana mimi naomba nifike huko Turiani mambo yangu ya kifedha yakikaa sawa nije nilime vijana wa kazi hawa hamna aisee
 
Kwangu sio rahisi kuharibu mtaji, ninao uzoefu, ni shughuli ambazo nimekuwa nikifanya kila mara,
vifaa vyote vipo na shamba kubwa lenye rutuba.

Karibu...
Kaka nitakuta alaf kuna hii biashara ya nafaka mahindi mpunga na maharage vipi una uzoefu nazo kwa huko turiani kama vipi nijikite niifanye iyo biashara niimarishe mtaji wangu
 
Turiani mkuu.

Mtaji wa ekari 2 haizidi 1.5M kama utalima hybrid na itapungua kidogo kama utalima sugar baby ambayo yenyewe siyo hybrid.
NB Turiani ni 300km kutoka Dar na inawezekana kufanya safari ya kwenda na kurudi kwa siku moja.

Karibu!
basi tuwasiliane tuone tutafanyaje. nitakupa namba yangu pm
 
Turiani mkuu.

Mtaji wa ekari 2 haizidi 1.5M kama utalima hybrid na itapungua kidogo kama utalima sugar baby ambayo yenyewe siyo hybrid.
NB Turiani ni 300km kutoka Dar na inawezekana kufanya safari ya kwenda na kurudi kwa siku moja.

Karibu!
Kisima habar ya kwako?? Naomba nisaidie huko kuna kilimo cha vitunguuu??? Maana nahitaji kulima angalau hekar moja mwaka huu usipite hiv hiv
 
Back
Top Bottom