Ipi definition yako ya uzuri wa mwanamke?

Ipi definition yako ya uzuri wa mwanamke?

Uzuri ya mwanamke sio urembooooo..... mwanamke ni tabia wahenga walishasemaaaaa........
 
Tabia njem unakuja kkuinyoksha wewe. Hata kama ana tabia mbovu but mrembo, we oa tu. Akija kuleta uovu nfo unaudhihirisha uanaume wako kwa kunyoosha tabia yake.
unafikiri ni kazi nyepesi kama unavyoongea hapa mzeee????
 
Tako baaana.....mwanamke mwenye tako kila mtu anamtolea macho, hizo tabia pelekeni kwa masister wa RC!
 
Wanaume wengi siku hizi tupo very selective ktk wanawake

Yaani kila mwanamume anataka mwanamke mrembo wa kumvutia

Ila ktk hili, kila mtu ana definition yake ya uzuri huo.

Mwanamke anaeza kuwa mrembo kwako na asiwe mrembo kwa mwezio.

Ipi definition yako ya uzuri wa mwanamke? Unaangalia vigezo vipi hadi useme huyu mwanamke ni mzuri?

Kwangu mimi, mwanamke anayejambia mbali ndo mzuri /mrembo. Yaani anajamba Masaki kinanukia gongo la mboto. Wale wanawake walio jazia jazia wale

584e77bebafcb69ac1c8abf4fe2bac5b.jpg


74e04f4ddf0546eec8759bde8916d45d.jpg


0bb2c2b6401683cbb476618a50738589.jpg


828c089594142e5e0d40d9579664c6b8.jpg
Chura kwanza vingine tutaangalia
 
Back
Top Bottom