RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

Mbona hiyo fainali ya Ndondo wameigeuza kama shughuli ya CCM?

Nawaona kwenye jukwaa kuu akina Dr Tulia Jackson, Daudi Bashite, Ally Hapi na Meya Ben Sitta, wote hao wakiwa ni viongozi kwa upande wa CCM pekee!

Hao CCM wanavyopenda ubaguzi, inawezekana kabisa hiyo shughuli wamefanya kuihijack....
inamaana mbunge wa kinondoni, kubenea na waitara hukuwaona
 
Mbona hiyo fainali ya Ndondo wameigeuza kama shughuli ya CCM?

Nawaona kwenye jukwaa kuu akina Dr Tulia Jackson, Daudi Bashite, Ally Hapi na Meya Ben Sitta, wote hao wakiwa ni viongozi kwa upande wa CCM pekee!

Hao CCM wanavyopenda ubaguzi, inawezekana kabisa hiyo shughuli wamefanya kuihijack....
Kupenda sifa na kurushwa hewani na clouds ujinga Wa kiwango cha rami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kiumbe hafai kivyovyote hata wakimsamehe mimi sitakaa nimsamehe huyu kiumbe
khaaa....kwanza hajaomba kusamehewa, pili wewe boya hakufahamu kabisa wewe ndie unaemgahamu
 
Back
Top Bottom