Mimi ningependa sana watu mnaotoa cmments muwe full informed. Kitendo cha kumpiga na kumfanyia uhuni huyu binti ni jinai. Kama jinai zingine zote mnazozijua. Lakini pia, msisahau kuwa India ni mmoja ya nchi ambazo zina madaraja ya kiuwezo yanaitwa CASTES. Hii pia iko Japana na Nepal. Kama...
Wadau,
Naomba kwa aliyeliona tangazo la kazi jatwa hapo juu aliweke humu au anirushia inbox.
Nilihitaji sana.
Website ya Serikali naoa siku ya tano leo haiko sawa sawa.
Mahakama kuu imeshata hukumu muda huu kusimamisha bomoa bomoa baadhi ya maeneo ya Kinondoni. Siamini kama hii itasaidia maana ni suala la kuweka sawa kumbukumbu kabla halijaendelea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.