RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Mwanamke huyo alijitungisha mimba kwa kutumia mbegu za kiume kutoka kwa mfungwa wa kiume, ili kukwepa hukumu ya kifo.
Askari jela wanne nchini Vietnam wamesimamishwa kazi kwa kosa la kuzembea kazini baada ya mfungwa wa kike aliyehukumiwa kunyongwa kushika mimba.
Kwa mujibu wa sheria ya Vietnam inasema mwanamke mjamzito au mwenye mtoto wa chini ya umri wa miaka mitatu hawezi kunyongwa na badala yake hukumu yake inafaa kubadilishwa na kuwa kifungo cha maisha jela.
Hivyo kwa Sasa inatarajiwa kwamba hukumu yake itapunguzwa kutoka kifo hadi maisha jela kwa sababu atakuwa na mtoto wa chini ya miaka mitatu.
Aidha maafisa wanasema mfungwa huyo alinunua mbegu kutoka kwa mfungwa wa kiume wa umri wa miaka 27 kwa $2,300 (£1,600).