figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,484
Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi, hadi kesi ya msingi ikamilike.
Hukumu hii inatokana na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba za Wananchi uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya wale wanaobomolewa nyumba zao.

Last edited by a moderator: