Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

Hii beti ikimbwa kwa kipindi hiki watikiaji watakuwa wachache,WACHA WAISOME NAMBA CCM MBELE KWA MBELE.
 
Lyimo chogo na rashid matumla hawa ni wahanga wa kiwango cha juu mno , lakini mzee igogo hayupo bondeni , labda kama alijenga kwenye kiwanja cha wazi , bali kuna tetesi kwamba monalisa mpya inayotazamana na DDC itakwenda na maji .
Mkuu kama Monalisa itabomolewa nina hatihati hata ofisi yangu kupigwa chini,maana kimwambao kutoka barabarani ni usawa huohuo wa Monalisa.
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wabomoe nyumba zao kabla ya tarehe Januari 5 .

Hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona ).

Wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la Keko , Keko Mwanga , Keko Machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama Mchomba line , wakazi wa Keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya Kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .

HAYA , TUSAUBIRI MAAN IMESHAKUWA SIFA SASA
 
Bila katiba ya Warioba na tume huru ya uchaguzi....maana ndio stori zenu za UKAWA. Bila hivyo vitu hapo mtaitoa CCM? Maana hamueleweki sasa...kila muda mnazuka na mapya...hivi UKAWA ni vichaa? Si mmesema wenyewe bila hivyo vitu hapo CCM itatawala milele...sasa hayo mawazo ya kuitoa CCM umeyatoa wapi!?

Hivi kuna kipindi wananchi waliichukia CCM zaidi ya wakati wa utawala wa JK...mbona CCM imeshinda kwa kishindo?
Ccm imeshinda kwa kishindo kipi 58% kwako ndio kishindo tena kwa kupora ushindi. We kilaza kweli umezoea kukaririshwa tu
 
Kama ishu ni kukosa kura basi wacha ikose ila sheria lazima zifuatwe. Kama hutofuata kwa hiyari basi utafuta kwa kulazimishwa.
Yaani 2020 CCM itapata kura nyingi zaidi kwani watu wengi watakaohama mjini wakati huo watakua na maisha bora sana kijijini kwamba watakua wanamshukuru sana Mgfl .....
 
Ha ha haaa.....pale ilikuwa Open space...sasa Mchina Katia Hela nyingi kajenga maGODOWN yakuuzia TILES....nikipita huko leo nitatwanga Picha
Itapendeza na kile kiwanda cha visu TAMECO pale pembeni ya Monalisa kikifufuliwa kwa sasa naona km kunauzwa matofali
 
Kwanini watu huwa hawajifunzi linapokuja suala la kujenga mabondeni!

Kila siku wanaona maafa na hasara wanayoipata iwapo mvua kubwa zitanyesha na kusababisha mafuriko.

Na wakumbuke mabondeni sio makazi ya kudumu muda wowote mambo yanaweza badilika.

Kiwanja waweza pata rahisi, lakini wakumbuke athari za baadae.

Mbali ya yote nawapa pole kwa kuondolewa kwa lazima kwenye makazi yao
 
Mkuu, by now nilidhani upo aware na mfumo wa kitawala wa viongozi africa
If no one is ready to shed bLOOD, never dream of removing a rulling party in Africa...
Do away with you blood appeal, otherwise be the first to lose it. Repeat it not again
 
Hebu tufikiri kwa Sauti, Kwani Tanzania ni Dar tuu kwanini watu wasitawanyike? tanzania zaidiya 56% ya ardhi ipo wazi kabisa
Anzia Arusha Ukielekea Mwanza uone Mapori yaliowazi halafu pita tena kutokea moshi kwenda mbeya na mikoa mingine mpaka njombe na Ruvuma
Serikali ingeweka Majengo ya kutoa Huduma kama Kenya Walivyoweka ''HUDUMA CENTER'' Kila Mkoa ili watu wengi wabaki mikoani wasigande Dar Tuu hii habari ya kupigania viwanja pale mjini na kuvuta hewa na kunyeshewa na Mvua ya kinyesi jijini dar haitakuwepo
Rudini Mikoani kuliko kusubiri fedheha na Hasara za kubomolewa kila mara na kuwa wahanga wa kujitakia.
wale wanaoganda mjini watafute tafsri ya Urban Rural Migration na Rural Urban Migration halafu fanya maamuzi.
Nafikiri kwa Sauti.
 
2020 CCM watajuta na watakuwa wadogo kama "piritoni" na kila goti watapiga lakini haitasaidia.

Tusubiri maana wao wanadhani by 2020 watu watakuwa wamesahau haya wanayoyafanya leo bila huruma.

Nyimbo na mashairi yao havitofua dafu mbele ya kumbukumbu ya mateso na machungu haya.It will always be a bitter memory that won't easily go away.

Hadi 2020 Mtakuwa mmeshasahau tu, mtapumbazwa kwa uzuri wa jiji na mpangilio wake
 
Hebu tufikiri kwa Sauti, Kwani Tanzania ni Dar tuu kwanini watu wasitawanyike? tanzania zaidiya 56% ya ardhi ipo wazi kabisa
Anzia Arusha Ukielekea Mwanza uone Mapori yaliowazi halafu pita tena kutokea moshi kwenda mbeya na mikoa mingine mpaka njombe na Ruvuma
Serikali ingeweka Majengo ya kutoa Huduma kama Kenya Walivyoweka ''HUDUMA CENTER'' Kila Mkoa ili watu wengi wabaki mikoani wasigande Dar Tuu hii habari ya kupigania viwanja pale mjini na kuvuta hewa na kunyeshewa na Mvua ya kinyesi jijini dar haitakuwepo
Rudini Mikoani kuliko kusubiri fedheha na Hasara za kubomolewa kila mara na kuwa wahanga wa kujitakia.
wale wanaoganda mjini watafute tafsri ya Urban Rural Migration na Rural Urban Migration halafu fanya maamuzi.
Nafikiri kwa Sauti.

Kiongozi usiseme pori kubwa Tanzania hii.

Kama pori kubwa nenda ukapaendeleze uone Maliasili ama Idara ya Misitu itakachokufanya. Njoo ujionee kilichotukuta huku Moro eneo linaloitwa Makunganya watu walipata ishi miaka 35 nyuma juzi kati wamefukuzwa wakiambiwa ni hifadhi ya misitu kwa ajili ya kuni kwa jamii.

tutafika tu japo kwa shidaaa sana.
 
Do away with you blood appeal, otherwise be the first to lose it. Repeat it not again
basi kaa pembeni na endelea kulalamika kama wenzio..na sisi tuendelee kufaudu matunda ya chaneli
 
Maelekezo waliyopewa ni kuhakikisha wale wote waliojenga mabondeni , kwenye viwanja vya wazi , juu ya bomba kubwa la majitaka wabomoe nyumba zao kabla ya tarehe Januari 5 .

Hii notisi imebandikwa jana na imesainiwa na mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ( nimeiona ).

Wahanga ni pamoja na waliojenga nyuma ya gereza la Keko , Keko Mwanga , Keko Machungwa hasa wale waliojenga kandokando ya mfereji wa maji unaoanzia kota za polisi maarufu kama Mchomba line , wakazi wa Keko juu nao hawajasahaulika hasa walio chini ya Kisiwani bar , tuendelee kutega sikio .
Gereza watabomoa?
 
Warudi kijini basi wakaendeleze huko sasa wote wanataka kuishi dar tu.
 
kwa kina matumla nimepita sana hapo kuna nyumba niliacha miaka minne ilopita mwezi mmoja tu ulopita nikapita ten WAmejenga nyumba pale nzuri nafikiri wameiboresha sana sana
 
spriano hawezi
🙁Nina wasiwasi na nyumba ya Rafiki​
Sipirian Mapunda
Kama itasalamika maana bomba limepita upenuni kabsaa.
spriano hawezi kutoka hila siku hz anakaa mbagala hata kaka yake spriano anaitwa nero,rashid matumla,bi mnene,mzee matumla,kaifa mwale na hasani matumla hawa wapo karibu sana.
 
Back
Top Bottom